Poleni na majukumu wana jf
Ipi ni simu bora sana kati ya Samsung J7 prime, Neo Pro na Samsung J7 tu. Nataka kununua kwa matumizi ya kawaida maana napenda sana kununua Samsung J7 sasa sijui ni ipi...
Jamani Mimi ni mwanafunzi... Na kwa sasa Niko katika harakati za kujifunza jinsi ya kutumia hiyo program ya computer.
Naomba kujua tatizo nini napoishia hapo katika operations zangu. Inakwamia...
Habari wapendwa, ndugu, na jamaaa wote ndani ya jukwaa.
Nahitaji msaada jinsi ya kuinstall whatsApp kwenye hii iPhone 4 yangu ina iOS ya 7.1.2
Wataalamu
Nielezeni jinsi ya kuinstall
Jana kimvua kilikuwa kinanyesha upande wa mashariki,jua lilikuwa linakaribia kuzama upande wa magharibi.
pakatokea upinde wa mvua,mtoto akaniuliza swali,zile rangi zinatokana na nini?
kutokana...
Habari zenu wanajamvi!, kama ambavyo title inajieleza. nlifanikiwa kusubmit my website to google adsense na waka aprove na ads zikawa on kwenye my site.. my site haina muda mrefu imekuwa published...
Kwa website tunafanya kazi nzuuri saana na kampuni yetu inaitwa GebTech compony na kwa bei rahisi saaana,tunapatikana kwa number 0753093869 .Bei kwa website 1 ni 140,000 sawa na buree.
Kama una...
Kabla ya kuangalia namna ya kujitoa kwenye huduma hii, kwanza ningependa tuanze kwa kutoa ufafanuzi Truecaller ni nini?
TrueCaller ni app maarufu duniani inayowawezesha watumiaji wake kutambua...
Leo napenda kushare idea kuhusu matumizi ya IPhone hasa kwa upande wa Kutuma na kupokea Documents between android and IPhone.
1.Make sure una install Xender in iPhone (Xender for IPhone) na...
Karibu kwenye Maujanja siku ya leo nitaenda kushare na wewe njia rahisi na ya haraka ya kutengeneza website ya muziki bure kwa kutumia smartphone yako. Njia hii ni nzuri sana na itakusaidia...
Anaejua kampuni nzuri ya fridge, kuanzia matumizi ya umeme, kelele, na muda wa kudumu, hapa naomba kujua ubora wa fridge za Westpoint, LG na Samsung, ila hasa hasa Westpoint zipoje, kelele na...
Kwa sasa nasoma ICT, Informational Communication Technology.
Bado nipo hatua za mwanzo kwa wale mliopitia mnaweza kuja kuninoa hapa kwa maswali ili kunijenga zaidi. Wataalamu nahitaji sana msaada...
Habari wakuu, Nilikuwa na check iPhone Kupatana nikakutana na hizi iPhone sasa sijui ndiyo bei zake au zinaweza kuwa na tatizo. Naombeni ushauri kabla sijaingia mkenge.
Wakuu samahani nina swali. Nataka kuulizia ni app gani nikiweka kwenye simu yangu itakuwa na uwezo wa kuficha picha, videos hata nyimbo, alafu na hiyo app isionekane kirahisi.
Nawasilisha.
Habari za muda huu wana jamvi, msaada tutani.
Natumia iphone 6+ tatizo lake nikiweka SIM card tofauti na Tigo (kwa mfano Halotel, TTCL) haitaki kuwasha mobile hotspot lakini kwa line ya Tigo tu...
Serikali ya China imetangaza kuanzia Ijumaa ya kesho tarehe 2 Nov, mitandao yote ya simu China itaanza kutoa huduma ya 5G na kufikia mwisho wa mwaka huu inategemewa sehemu kubwa ya miji ya China...
HAYA MASIMU YANAUZWA GHALI LAKINI FRINGER PRINT BURE KABISAA,
WANAKWAMA WAPI HAWA JAMAA WANAZIDIWA NA WAKOREA NA VIMEO VYA KICHINA??
Simu tunatumia gharama kubwa kumiliki miezi kadhaa ina-fail...
Kuna hii kitu inaitwa Tecno CA7 imesimama balaa, mwanzo nilikuwa nawaza kununua note 5 nilipokutana nayo aisee imenipunguzia mambo mengi sana.
Kuanzia gharama kwa huku imesimama laki tano na...