Hamisha Documents zako from Iphone to Android na kinyume chake

NASRI1

Senior Member
Aug 2, 2019
188
266
Leo napenda kushare idea kuhusu matumizi ya IPhone hasa kwa upande wa Kutuma na kupokea Documents between android and IPhone.

1.Make sure una install Xender in iPhone (Xender for IPhone) na (Xender for Android iwe installed kwe simu ya Android).

2. Open Xender in both Android and IPhone.

3. In IPhone, tap receive but in android tap Send.

4. In IPhone, washa WiFi then Join the network (Kama inahitaji password then Long press hapo kwenye eneo la kujaza password maana huwa zinakuwa copied automatically)

5.In IPhone, WiFi ikiwa connected then rudi kwenye app ya Xender utaona Devices zote za android ambazo zipo open, kisha chagua device unayoitaka na utaconnect hapo.

6. Baada ya kukonekti, utaanza kutuma mafiles uyatakayo, photos, videos, music's, docs,etc.....

Uzi ukieleweka,nitaandaa Uzi mwingine wa kuhamisha mafiles from IPhone & to PC na kinyume chake bila ITunes App.

I'm so sorry kwa kuchanganya lugha maana mie si mwandishi mzuri.

Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom