Kwa bei hizi za iPhone ni halali kweli?

Kwa bei hizi za iPhone ni halali kweli?

Pekejeng

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2016
Posts
831
Reaction score
2,239
Habari wakuu, Nilikuwa na check iPhone Kupatana nikakutana na hizi iPhone sasa sijui ndiyo bei zake au zinaweza kuwa na tatizo. Naombeni ushauri kabla sijaingia mkenge.

D324CACA-200D-43D3-AAE6-44278852E59C.jpeg
D324CACA-200D-43D3-AAE6-44278852E59C.jpeg
E8C58260-54CC-4003-9993-AE8C14AD9CE3.jpeg
7300E7C2-1D35-46A0-BC5C-79168357C7F8.jpeg
 
huyu ndio yule tapeli aliyekuwa anauza iphone 7 plus kwa laki 3 2017,wakati kwa wakati ule ilikuwa inacheza 2.1mln.

naona ameamua kubadili mbinu.ila huenda kweli.
 
huyu ndio yule tapeli aliyekuwa anauza iphone 7 plus kwa laki saba 2017,wakati kwa wakati ule ilikuwa inacheza 2.1mln.

naona ameamua kubadili mbinu.ila huenda kweli.
Ina mana hawa ndo wale wakutuma hela kwanza au vipi
 
Ukimtafuta huyo yupo Mkoani, Tanzania pekee ndio kuna simu na laptop nintendo switch, na hardware nyengine kali vijijini ambapo mjini hakuna. Huyo jamaa ni tapeli maarufu kupatana, Ana vitambulisho hadi vya polisi kuna nyuzi kibao humu watu wamemripoti.
 
Kumbe Asante sana mkuu
 
Duh!! iPhone kwa bei hyo ina maana akiwa na Tecno atagawa bure.
 
Back
Top Bottom