franknombo
Senior Member
- Mar 30, 2019
- 170
- 160
Habari wataalamu naomba kujuzwa juu ya vitu hivyo vitatu nilivyovitaja hapo juu. Naomba kujua maana zake na tofauti zake kitalaamu.
Window update.Habari wataalamu naomba kujuzwa juu ya vitu hivyo vitatu nilivyovitaja hapo juu. Naomba kujua maana zake na tofauti zake kitalaamu.
Window update.
Ni marekebisho madogo au makubwa yanayoweza wekwa ndani ya window husika ili kuondoa mapungufu ya baadhi ya sehemu za hiyo window os mfano wa marekebisho haya ni Kufanya security patch yaani kuondoa baadhi bugs au error zinazohusiana na security n.k
FAIDA YAKE
#uifanya window iwe faster.
#uifanya window kuishi muda mrefu na kuhimili mikiki mikiki mbalimbali.
#uifanya window kuwa na security ya hali ya juu hasa kwa window 8,8.1 na 10.
WINDOW UPDATE...
Mara nyingi ufanyika wakati inapokuwa imeruhusiwa kufanyika na pale internet inapokuwa active.
window upgrade.
Haina tofauti sana na kubadili window lakini tofauti yake Ni kuwa yenyewe ufanyika wakati window iliyopo kwenye PC iko active na ikishafanyika basi Kuna program na files au hata previous setting zinabaki. Unaweza kutumia window creation media tool kufanya hi kitu.
KWA LUGHA NYINGINE NAIITAGA.
Non clean window installation technique/method
window active.
Hii naifahamu Kama active window yaani ni window ambayo inakuwa active wakati unafanya kazi zako hii sio operating system. mfano ukifungua Ms word ukawa unaitumia basi uko kwenye active window lakini ukiamia kwenye software nyingine basi ile Ms word inakuwa inactive window.
But si wenye hiyo w 7 wataendelea kuitumia tu hata bila hizo update??January 15, 2020 ndio mwisho wa Window 7, no more window update na security.
Yap, zitapiga kazi kama kawaida.But si wenye hiyo w 7 wataendelea kuitumia tu hata bila hizo update??
ku activate window haimaanishi kuifanya iwe active kwani kuwa active kwa window ni pale unapotumia any system or application software Kama nilovyotoa mfano wa Ms word inapokuwa ikitumika unakuwa kwenye active window .Kwenye window active hapa nadhan anaongelea window activate.
Kuna Window unapoistall kwenye pc huwa zinahitaji key zake vinginevyo haziwi activated.
So unatakiwa uwe na activator yake ili kuifanya window iwe active na kitendo cha window kutokua activated hupelekea some bugs na baadhi ya security huwa weak na hupelekea virus attack ndio maana huwa tunashauriwa kuactivate window ili iwe huru kufanya kazi zake kwa ufasaha.
Usipoactivate OS yako kuna baadhi ya software ukitaka kuziinstall zitakataa kwa sababu OS haijawa ativated.
Pia window ambayo haijawa activated kuna kipindi huwa inasumbua sumbua na rangi huwa hafifu tofauti baada ya kufanyia activated