Nitumie app gani kuficha picha, video kwenye simu?

IJIGHA NDIO HOME

JF-Expert Member
Jul 13, 2019
748
771
Wakuu samahani nina swali. Nataka kuulizia ni app gani nikiweka kwenye simu yangu itakuwa na uwezo wa kuficha picha, videos hata nyimbo, alafu na hiyo app isionekane kirahisi.

Nawasilisha.
 
Unapaswa kujaribu kutumia programu ya LockMyPix kwenye Apknite. Ni rahisi kutumia; UI na usimbizo ni mzuri. Pamoja pia ina Backup ya Faili iliyojengwa
 
Simu yako, INA password kibao, bado huridhiki, unataka kuweka kuficha tena! Haya pole.

Kama ungekua unatumia Windows ningekwambia tumia App inaitwa MY CALCULATOR, hii MTU akiangalia anafikiri ni calculator tu kumbe ndio chaka lenyewe! Kwahio inajificha hadi App yenyewe.....Uaminifu ni jambo jema
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom