Tofauti ya third world na developed countries hua inaonekana kwenye maswali kama haya, angalia majibu hapo juu, wapo watakaoleta Biblia, wapo watakaokaa kutaja ni topic au somo gani, lakini hakuna anayekaa kujibu swali, limeuliza formation ya rainbow sio rainbow kibiblia inamaana gani au inapatikana topic ipi, first world wangelijibu kama lilivoulizwa, third world tunatapatapa tu hatujui kitu.
Sasa nitalijibu, rainbow inatokana na reflection, refraction na despersion of light, kunakua na droplets za maji angani, hizi droplets zina~act kama prism, mwanga ukitoka kwenye jua unaingia kwenye droplet unakua refracted(unapinda) hii ni kutokana na speed ya mwanga hewani ni tofauti na speed ya mwanga ndani ya droplet, ukiingia inapelekea kutawanywa (dispersion) kwa ule mwanga kumbuka sunlight inacontain rangi zote, ray ikitawanywa inatoa rangi zote kuanzia nyekundu ambayo ndio yenye wavelength kubwa hadi blue yenye highest frequency. Ukitaka kuelewa vizuri chukua prism, iweke juu ya karatasi nyeupe uone mwanga unavoingia na kutoka kama rainbow. Same mechanism.