Ipi ni simu bora sana kati ya Samsung J7 prime, Neo Pro na Samsung J7?

bartista

Member
Sep 15, 2019
72
54
Poleni na majukumu wana jf

Ipi ni simu bora sana kati ya Samsung J7 prime, Neo Pro na Samsung J7 tu. Nataka kununua kwa matumizi ya kawaida maana napenda sana kununua Samsung J7 sasa sijui ni ipi nzuri.

Msaada please.
 
Back
Top Bottom