Iphone mbona zinakufa sana fingerprint scanner?

Iphone mbona zinakufa sana fingerprint scanner?

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
21,708
Reaction score
35,719
HAYA MASIMU YANAUZWA GHALI LAKINI FRINGER PRINT BURE KABISAA,
WANAKWAMA WAPI HAWA JAMAA WANAZIDIWA NA WAKOREA NA VIMEO VYA KICHINA??

Simu tunatumia gharama kubwa kumiliki miezi kadhaa ina-fail fingerprint tunashindwa kujilinda na wadukuzi tunaoishi nao karibu.
 
iOS update zao ndio chanzo kikubwaa,
sasa on display fingerprint sijui itakuwajee..

Mmmmmh huawei wameachia Mate 30 pro juzi, aloooo huyu jamaa ndio maana wanamuwekea figisuuu, sema bd kuna vitu ving kapigwa na samsung na iphone,
iphone 11 pro max naona wame improve sana battery,
 
Una uhakika hiyo simu uliinunua ikiwa mpya au ni mtumba?
Mimi mwaka wa pili huu na chuma bado kipya kabisa hakina hata scratch wewe unasema miezi kadhaa?
battery health[emoji3062]
 
iOS update zao ndio chanzo kikubwaa,
sasa on display fingerprint sijui itakuwajee..

Mmmmmh huawei wameachi Mate 30 pro, aloooo huyu jamaa ndio maana wanamuwekea figisuuu
Weeeee! Hilo lihuawei kwanza bei yake tu hugusi alafu halina pre installed google apps mpaka udownload mwenyewe kwenye gallery app.
.
Bei yake ni euro 1099 embu ibadilishe kwa fedha za madafu
 
Weeeee! Hilo lihuawei kwanza bei yake tu hugusi alafu halina pre installed google apps mpaka udownload mwenyewe kwenye gallery app.
.
Bei yake ni euro 1099 embu ibadilishe kwa fedha za madafu
hivi ban yao si ililegezwa mashart? M nikajua kila kitu kipo sawaaa,

ila nimependa flagship za mwaka huu,
wameimprove sana battery capacity(japo battery life inaamuliwa na factor nyingi)
iphone 11 pro max wapiga almost 4000maH
 
iphone kufa finger print sensor ni kawaida, sababu inatumika sana. Finger print sensor za simu nyingi zipo nyuma ya simu, hivyo watu wanafungua simu kwa pattern or keylock, wakati iphone almost kila mtu anafungua kwa finger print sensor. Pamoja na yote sijawahi kutana na iphone iliyokufa finger print sensor.
 
hizi simu hasa high end brands, ukinunua zaidi ya miaka miwili kwenda juu tangu itoke leo hii ni kwa asilimia ndogo sana ukapata mpya kbsa, mfn leo hii ukanunue iphone 6 k.koo
utaishia
refublishe, carrier unlocked au mtumba kbsa, na ndio zilizojaa k.koo, unless uagizie kwenye stores zao au kwa ma verified agents.
ukiambiwa brand new full boxed jiongeze na wewe, hakuna simu mpya kbsa(specialy hizi brand kubwa halafu isiwe sealed(japo kua sealed haimaanish zote ni mpya) wajuzi kucheza na akili za wateja wanaokalili hapa wananielewa.
 
iphone kufa finger print sensor ni kawaida, sababu inatumika sana. Finger print sensor za simu nyingi zipo nyuma ya simu, hivyo watu wanafungua simu kwa pattern or keylock, wakati iphone almost kila mtu anafungua kwa finger print sensor. Pamoja na yote sijawahi kutana na iphone iliyokufa finger print sensor.
mkuu samsung s5 mpk s7 zote zina fingerprin kwenye home button lkn hili tatzo sio kubwa kwao km iphone
 
hivi ban yao si ililegezwa mashart? M nikajua kila kitu kipo sawaaa,

ila nimependa flagship za mwaka huu,
wameimprove sana battery capacity(japo battery life inaamuliwa na factor nyingi)
iphone 11 pro max wapiga almost 4000maH
Yes na wameruhusiwa kutumia android 10 ndio hiyo ipo kwenye hii p30 bei sasa mzee wangu khaa
 
HAYA MASIMU YANAUZWA GHALI LAKINI FRINGER PRINT BURE KABISAA,
WANAKWANA WAPI HAWA JAMAA WANAZIDIWA HATA NA VIMEO VYA KICHINA??

Simu tunatumia gharama kubwa kummiliki miezi kadhaa ina-fail fingerprint tunashindwa kujilinda na wadukuzi tunaoishi nao karibu.
Nunua simu og
sio hizo za uchochoroni
 
iphone kufa finger print sensor ni kawaida, sababu inatumika sana. Finger print sensor za simu nyingi zipo nyuma ya simu, hivyo watu wanafungua simu kwa pattern or keylock, wakati iphone almost kila mtu anafungua kwa finger print sensor. Pamoja na yote sijawahi kutana na iphone iliyokufa finger print sensor.
Umemaliziaje??
"Pamoja na yote sijawahi kutana na iphone iliyokufa finger print sensor."
 
Back
Top Bottom