nandembako
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 655
- 528
Kuna hii kitu inaitwa Tecno CA7 imesimama balaa, mwanzo nilikuwa nawaza kununua note 5 nilipokutana nayo aisee imenipunguzia mambo mengi sana.
Kuanzia gharama kwa huku imesimama laki tano na 30,ina ram 3gb, rom 32gb, camera 20mp inakaa na chaji kwa watumiaji wenye fujo. Very nice phone ever, nakushauri kama una uhitaji wa simu na una hela nunua hiyo simu, hautajutia.
Sent using Jamii Forums mobile app