Allydasmartboy001
JF-Expert Member
- Jul 14, 2018
- 604
- 218
Nilikuwa naomba msaada simu ipi nzuri kati ya Nokia na samsung na simu mbili hapa kati ya Samsung A70 na Nokia 7.2.
Ipi simu nzuri au company ipi ina simu kali kwa sasa kwa upande wa camera au simu ipi kati ya Samsung na Nokia ipo vizuri kwa camera?
Ipi simu nzuri au company ipi ina simu kali kwa sasa kwa upande wa camera au simu ipi kati ya Samsung na Nokia ipo vizuri kwa camera?