Tatizo la chaji kuisha haraka ifikapo 70%

Tatizo la chaji kuisha haraka ifikapo 70%

Majinzi

Senior Member
Joined
Oct 28, 2018
Posts
147
Reaction score
203
Habari,

Nina simu aina ya Tecno CxAir ina muda wa karbia miaka mitatu tangu niinunue. Kwa muda wa miezi kadhaa sasa imekuwa na tatizo la charge kuisha haraka, na hasa ikifika around asilimia 70 hujizima na ukiwasha basi itachuka dakika kadhaa tu na charge kuisha kabsa.

Wakati mwingne ili iwake inatakiwa u-boost kwanza na charger. Nilidhani labda kuna baadhi ya apps zinajiendesha background, nikazima, lakini tatizo lipo pale pale.

Kimsingi, hadi sasa sielewi tatiz. Je, ni muda wa battery imeisha au ni tatizo la system?

Nikii-charge full haichukui hata masaa 5, either naitumia au siitumii na itachukua dakika chache kuisha charge kama nitawasha data otherwise niwe nime-connect kwenye charging.

Naomba uzoefu wa hili.
 
Badili battery. Ila kama unataka kupiga mark time badili chaja kwanza
 
Battery imekwisha nguvu,miaka 3 mkuu kwa rechargeable battery ni muda mrefu kiasi chake...
Itakuwa hivyo mkuu ngoja niwafate tecno wakanibadilishie battery
 
Back
Top Bottom