Chief Mkwawa na wengine mnaionaje hii simu?

Crimea

JF-Expert Member
Mar 25, 2014
24,906
33,484
Huwa natamani sana ninunue tablet hasa ya kampuni ya Samsung ambayo ntakuwa napiga na kupokea simu pia.
Sasa katika kufanya utafiti nmekutana na hii kwenye mtandao wa ebay, sijui mnaionaje wadau ushauri wenu tafadhali kabla sijajilipua kutuma hela.
Screenshot_2019-11-23-10-44-37.jpeg
Screenshot_2019-11-23-10-45-56.jpeg
Screenshot_2019-11-23-10-49-20.jpeg
 
Kwa hiyo itakuwa haifai mkuu
Mkuu kitu kuwa refurbushed haimaanishi sio kizuri wala haimaanishi kuwa kimebadilishwa. La! Kinachofanyika ni bidhaa iliyotumika kurudishwa kwenye kiwanda cha kampuni ile ile iliyoitengeneza na kufanyiwa marekebisho fulani. Mfano kama ni simu, kuweka betri mpya, housing mpya, kuweka upya firmware, kufanyiwa usafi wa kina, nk. Yaani kila kitu watakachoona kuwa kinahitaji kubadilishwa wanabadilisha. . Ndio maana hawaoni kigugumizi kuweka wazi kuwa ni "refurbished" kwa sababu haithiri jina la kampuni ikiwekwa sokoni. Faida yake ni kuwa ni bidhaa karibu sawa na mpya lakini inauzwa bei ndogo kuliko mpya.
 
Asante sana mkuu
 
Huwa natamani sana ninunue tablet hasa ya kampuni ya Samsung ambayo ntakuwa napiga na kupokea simu pia.
Sasa katika kufanya utafiti nmekutana na hii kwenye mtandao wa ebay, sijui mnaionaje wadau ushauri wenu tafadhali kabla sijajilipua kutuma hela. View attachment 1270003View attachment 1270004View attachment 1270005
Hii ni ya kizamani mkuu snapdragon 800 ni ya toka 2013.

sikushauri mkuu hio tab inatumia processor ya mwaka 2013 ambayo bado ni 32bit, kifupi ni ya kizamani.

Tab nzuri ambayo haitabana sana kwenye budget ni Tab A 10 inch yenye exynos 7870, perfomance yake si kubwa ila sio mbaya, ina 4g na specs nyegine nzuri. Bei zake ni around dola 200 kama hio uliopost

Na ukitaka Tab nzuri kabisa tab s6, ina sd 855 ambayo ndio top kwa perfomance kwa sasa. Hii andaa dola 400 kwenye hizi black friday deals na dola 600 bei ya kawaida.
 
Asante sana! Wewe ni jembe letu hapa jukwani.

Lakini kwa hapa bongo hizo ntazipata kwenye maduka gani mkuu au mpaka niagize nje
 
Result za online

Hii ni mpya bei 650k na price ni negotiable. Ni ya mwaka huu kioo zaidi ya Full HD na hata soc yake ni nzuri.

Kuna na hii ya laki 4 ila processor yake ni quadcore tu, usitegemee maajabu kwenye kufanya kazi.

Uzuri wa zote hizo zina sticker ya warranty miezi 24 na ni 4g hivyo inamaana ni Samsung Official wamezileta Tanzania, pia inamaanisha zinapatikana kwa wingi madukani. Unaweza chukua contacts zao kwenye links na kuwapigia kujua maduka yao yalipo.
 
Mkuu Asante sana zaidi ya sana
 
Mkuu kitu kuwa refurbushed haimaanishi sio kizuri wala haimaanishi kuwa kimebadilishwa. La! Kinachofanyika ni bidhaa iliyotumika kurudishwa kwenye kiwanda cha kampuni ile ile iliyoitengeneza na kufanyiwa marekebisho fulani. Mfano kama ni simu, kuweka betri mpya, housing mpya, kuweka upya firmware, kufanyiwa usafi wa kina, nk. Yaani kila kitu watakachoona kuwa kinahitaji kubadilishwa wanabadilisha. . Ndio maana hawaoni kigugumizi kuweka wazi kuwa ni "refurbished" kwa sababu haithiri jina la kampuni ikiwekwa sokoni. Faida yake ni kuwa ni bidhaa karibu sawa na mpya lakini inauzwa bei ndogo kuliko mpya.
Ahsante mkuu hapo nimepata mwanga nilikua mashaka mtandaoni nikiona kitu used
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom