Msaada: Bass Guitar Nzuri Zinauzwa Wapi Dar?

Natania

JF-Expert Member
Dec 25, 2012
262
217
Wakuu, salaamu.

Nina mpango wa kununua BASS GUITAR (5 strings). Kuna yeyote anayejua ni wapi naweza kupata hiyo kifaa kwa bei nafuu lakini kikawa cha uhakika?

Kama wewe ni mpigaji wa Bass Guitar, ni ipi unanishauri ninunue?

Natanguliza shukrani kwa ushauri wako.

Nata
 
Hivi vitu kama Ibanez GSR205 vinapatikana bongo?

s-l1600.jpeg
 
Mara nyingi nachukua vifaa vya design hii kariakoo pale kuna maduka wanauza hizo makitu
 
Nilipita duka moja kariakoo na kuona bass guitar aina ya Fender na zinapendeza sana, ila nasikia siyo original na zinasumbua baada ya muda mfupi.
 
Usiogope mkuu, nenda pale ulizia maduka wanayouza guitars, strings na items za aina hiyo unaelekezwa utachagua unalotaka kwa mujibu wa mahitaji yako. Maduka yapo mengi tu pale
 
Usiogope mkuu, nenda pale ulizia maduka wanayouza guitars, strings na items za aina hiyo unaelekezwa utachagua unalotaka kwa mujibu wa mahitaji yako. Maduka yapo mengi tu pale

Mkuu, Kariakoo kwa jinsi ilivyo unaweza kutoa jasho sana na hata usipate unachotafuta. Hayo maduka mengi unayoyasema yapo mitaa ipi? Mimi nafahamu duka moja lipo karibu na round about ya uhuru ila kama unaelekea mnazi mmoja linaitwa Aggrey Music. Mengine yapo wapi?
 
Ingia Morgan Shop pale jirani na roundabout ya Uhuru yule pekee ndie anauza gitaa original Kariakoo japo bei zake zimesimama,maduka mengi yanauza bass fake zikiwemo hizo Fender ambazo hupinda baada ya muda mchache akikosa pale bass agiza Nairobi kama you're after genuinely made bass guitaa,ila acoustics original zipo Top shop ni wakala wa Yamaha yule,electric guitars original anazo huyo jamaa pekee,nasisitiza!
 
Asante sana mkuu kwa ushauri. Yes, nilisikia hayo ma-fender yanayouzwa mtaani yanapinda baada ya muda. Sasa msaada please, hiyo Morgan Shop ipo karibu na round about ya Uhuru kwenye mtaa upi?
 
Morgans imekuwa ina music instruments nzuri tangu zamani. Ukipata Gibson hata kama ni used ni top quality. Siku hizi kuna Fender feki kibao lakini utazijua tu. Bei ni ndogo na ukizicheki kwa makini utajua sio. Ukitaka Fender nzuri ya solo tafuta used Fender Stratocuster
 
Shukrani kwa tips mkuu. Hao Morgans yaelekea wapo vema, na kama wanauza na used itakuwa poa zaidi. Ila bado sijajua exactly wapo mtaa gani. Kwa anayeweza kunielekeza tafadhali anaombwa kufanya hivyo.
 
Asante sana mkuu kwa ushauri. Yes, nilisikia hayo ma-fender yanayouzwa mtaani yanapinda baada ya muda. Sasa msaada please, hiyo Morgan Shop ipo karibu na round about ya Uhuru kwenye mtaa upi?
Kama unatokea Mnazimmoja mkono wa kushoto palepale kwenye kona kuna jamaa wengi wanapiga passport photos huwa wanasimama nje ni mkabala na kituo cha daladala utawaona,hili ndio duka pekee Dar lenye vifaa vingi original vya music,recording studio na redio.Just go utaniambia wacheki hapa ::UHURU MUSIC SOUND Co LIMITED::

Sent from my SM-T231 using JamiiForums mobile app
wanafahamika sana kama Aggrey Music pia
 
Asante mkuu, hawa Aggrey Music nimeshawahi kuwatembelea, ila nilikuwa sijui kama wanauza original ama la!
 
Kuna maduka mengi sanaa kariakoo wanauza guitars.Memgi mno ila kuna hawa jamaa nawaonga wako reliable sana wanaitwa CITY MUSIC SOUND.Tatizo la maduka mengi wana limited options tofaut na hawa.A variety of options na wana payment terms friendly sana.Ingawa bei zako ziko juu kidogo but u cant mis a thing ukiingia pale.Brands tofaut tofaut kwa instruments nying
 
Mkuu Natania vyombo vingi vya muziki kwenye maduka yetu havina ubora na vingine feki unaweza kuona vimeandikwa yamaha crown au fender lakini ni sitika tu zimebandikwa mtu anaangiza amp spika au gita toka china na avibandika sitika za yamaha au peavey maduka machache sana yanauza vitu og kama unaweza kuagiza toka nje bora ufanye hivyo.
 
Back
Top Bottom