Natafuta mtu/Kampuni ya kufanya SEO kwa website

Rutunga M

JF-Expert Member
Mar 16, 2009
1,769
1,390
Hii ni tenda kubwa ambapo napanga kutumia fedha/kuwekeza katika huu mradi.

Watoa huduma ya SEO kwa tz kama kuna anayeweza hii tenda tuwasiliane.

sasa mimi nataka mtu au kampuni bora ya kunifanyia SEO ya maana kwa bei yoyote atakayotaka.

1:Site iwe na uwezo wa kupata traffic ya 100k views(hasa USA,UK,South africa) kwa siku kwa kupost tu post 5-10 kwa siku zinazohusu afya tu ambazo zimeandikiwa na wataalam wetu siyo copy and paste.

Mwenye uwezo huo ani inbox nimpatie hiyo kazi.

Nb:Hata akitaka tuanzishe site mpya kuanza katika foundation sawa tu.
:Sina Ads zozote bali kuna biashara napanga kufanya.
 
SEO inasaidia katika search engine pia kumbuka unapo fanya Seo kwa lugha ya kiswahili ni sawa na kumwaga maji ardhini
 
Hii ni tenda kubwa ambapo napanga kutumia fedha/kuwekeza katika huu mradi.

Watoa huduma ya SEO kwa tz kama kuna anayeweza hii tenda tuwasiliane.

sasa mimi nataka mtu au kampuni bora ya kunifanyia SEO ya maana kwa bei yoyote atakayotaka.

1:Site iwe na uwezo wa kupata traffic ya 100k views(hasa USA,UK,South africa) kwa siku kwa kupost tu post 5-10 kwa siku zinazohusu afya tu ambazo zimeandikiwa na wataalam wetu siyo copy and paste.

Mwenye uwezo huo ani inbox nimpatie hiyo kazi.

Nb:Hata akitaka tuanzishe site mpya kuanza katika foundation sawa tu.
:Sina Ads zozote bali kuna biashara napanga kufanya.
Naweza kufanya hiyi kazi njoo inbobo tumalize
 
Back
Top Bottom