K7 tigo inazingua total katika baadhi ya maeneo hali yakuwa simu nyingine zinapeta na Tigo hiyo hiyo so nadhani ni tatizo la simuSalam wana jf
Juzi tigo wamenizwadia gb1 za mwezi
Shida ni kwamba nikiwasha data napata notification za YouTube ila nikijaribu Ku stream Hanna kitu
Hata nikiingia jf napo ni yale yale
Msaada please
Izo gb za ofa ni kwa ajili ya whatsapp,instagram,twitter,facebookSalam wana JF
Juzi Tigo wamenizwadia GB1 za mwezi
Shida ni kwamba nikiwasha data napata notification za YouTube ila nikijaribu Ku stream Hamna kitu
Hata nikiingia JF napo ni yale yale
Msaada please
Nako nimejaribu ilawapi hamna kituIzo gb za ofa ni kwa ajili ya whatsapp,instagram,twitter,facebookView attachment 1270395