Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Hii kitu inaitwa WIN RAR au zip ni nini? naomba mwenye uelewa anidadavulie maana nimeinstall biblia kwenye pc yangu sasa kuifungua imekuja kwenye mfumo wa zip hapo sasa sielewe kitu kabisaa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Niende moja kwa Moja kwenye Mada. Nipo Dar naulizia wale wajuvi wa machimbo ya Laptop za Kazi kama za Rendering na Matumizi ya Graphics aje apa atuelekeze yanapo patikana na ikiwezekana na Bei...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu Nina flat screen yangu inch 34 haina muda mrefu inasumbua Sana kwa kutoa rangi zisizoeleweka na PIA imekata sauti.Naomba yeyote mwenye kujua tatizo Ni nini au anayemjua fundi mzuri WA tv...
0 Reactions
13 Replies
11K Views
Naomba msaada kwa anaezifahamu hizi programu, ipi ni nzuri kwajili ya kutengenezea Logo, vipeperushi, card design. phat_07
0 Reactions
14 Replies
6K Views
Nataka niingie katika boot setup ya laptop yangu..lakini kila niikiwasha na ku press F2 au del ili niingie setup option hairespond chochote.nimejaribu kutumia keyboard ya nje napo holaa..nifanyaje...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hili jukwa ndio kwanza napandisha uzi humu, Naomba kuuliza hivi nawezaje kupata code namba inayoweza kunisaidia kupata menu katika simu za kawaida je inatengezwa au unaenda kuomba kwa makampuni...
0 Reactions
0 Replies
694 Views
Hi, Kama kawaida ya jukwaa letu n kuelimishana mambo mbali mbali hivyo leo nmeandaa uzi huu maalum kwa wale wote wanaohitaji kufurahia ulimwengu wa rooting but wameshindwa either uoga wa kijinga...
5 Reactions
242 Replies
37K Views
guys naomba mwenye scatter file/rom ya vodafone vfd 301 au kama unayo backup yake plzz..
0 Reactions
69 Replies
33K Views
habari wana JF, Nikuwa nahitaji mnijuze namna ya kutengeneza mabango pamoja na maswala ya graphics design ni vitu gani niwenavyo na namna ya kuvitumia ASANTE! Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Habari zenu wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza ni kuwa njia hii nilikutana nayo mtandaoni na nikaona si vibaya nika share na nyie kwa kuwa inawezekana kuna watu wanapenda kutumia vpn ila...
12 Reactions
105 Replies
19K Views
Wakuu kati ya hayo matoleo mawili hapo, simu gani ni kali zaidi?
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Habari zenu wanaJF, pamoja na andiko la Chagga King la tar 25july Kickass Torrent imefungiwa na Marekani nimefanya more investgation na kugundua ni kwa jinsi gani Mitandao ya Apple na Facebook...
7 Reactions
13 Replies
4K Views
Habari wakuu! Nimesahau password ya app ya DStv Now hii app huwa naitumia kuangalia DSTV popote pale napokua mbali na nyumbani kwa kutumia simu yangu ya mkononi sasa nimesahau password...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Naomba mwenye huo ujuzi wa kuinstall aps mbalimbali kwenye pc, mfano dictionary,bible nk. Au kama kuna link ya kuinstall hizo Apps naomba msaada na maujuzi zaidi, kumbuka sihitaji kuinstall...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari za jpili. Naomba mnisaidie kidogo kwa wale wenye uelewa wa haya makitu,kunamshikaji aliniuzia simu,iPhone 6s plus kila kipindi nainunua alinambia aliipeleka kwa fundi aiset fresh for ilikua...
2 Reactions
32 Replies
4K Views
Poleni na majukumu wapendwa, Naomba msaada Tv yangu inch 43 Lg LED imechora mstari mnene mno kati kati Shida ni siku moja tukiangakia tv iliweka tu kiza ikawa haionyeshi kitu , basi tukaizima...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Habarini Wadau, Nina Ofisi yangu hapa Mwanza ya Internet Cafe, hivi majuzi nimeanza kutumia Moderm ya Voda ambayo inasupply internet kwa ajili ya Computer zangu. Sasa Kati ya Computer 5...
1 Reactions
3 Replies
938 Views
Msaada tafadhali simu haingizi chaji. Nikichomeka chaja kwenye socket simu inaandika.moisture has been detected..unplug your charger and wait untill both usb and phone are dry.nifanyeje...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Naombeni mnisaidie wakuu maana nataka kutengeneza amplifier kwa kutumia ic ya tda7393 ila kuna sehemu imeandikwa ST-BY na nyingine MUTE. Sasa hizo sehemu mbili nimekosa cha kuunganisha wakuu...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Nahitaji radio RF transmitter kw 1000. Anayeweza kunisaidia nitapata source ipi? Na sh. Ngapi? Thanks Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…