Wewe uko wapi
Pamoja na kutafuta tiba naomba kwanza ujue chanzo au sababu ya TV yako kuwa na rangi. Sababu kuu ni speaker, hakikisha screen yako inskuwa mbali kidogo na speaker za music system au radio yako.
Kuhusu namna ya kuondoa hiyo rangi ni kszi ndogo sana na mafundi wote wa TV wanajua namna ya kuindoa kwa sumaku.
Mkuu nikiri kwamba tv yangu imekuwa ikiunganishwa na speaker kibao.Labda ungesaidia kwa kuelekeza baada ya kutoa hizo speaker,nifanyeje niondoe hizo rangi.
niko Dar Mkuu
Hio sumaku inafanyaje kazi mkuu nisaidie niitoe.Pamoja na kutafuta tiba naomba kwanza ujue chanzo au sababu ya TV yako kuwa na rangi. Sababu kuu ni speaker, hakikisha screen yako inskuwa mbali kidogo na speaker za music system au radio yako.
Kuhusu namna ya kuondoa hiyo rangi ni kszi ndogo sana na mafundi wote wa TV wanajua namna ya kuindoa kwa sumaku.