Tukutane hapa kwa walioshindwa ku-root simu zao

Tukutane hapa kwa walioshindwa ku-root simu zao

Hckcode8

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2016
Posts
370
Reaction score
245
Hi,
Kama kawaida ya jukwaa letu n kuelimishana mambo mbali mbali hivyo leo nmeandaa uzi huu maalum kwa wale wote wanaohitaji kufurahia ulimwengu wa rooting but wameshindwa either uoga wa kijinga au apps walizotumia haziendani na simu zao yaani namaanisha mfano kingoroot apk haijawah kuroot tecno w4. Hivyo leo nmeandaa baadhi ya apps ambazo zitasaidia.

Iroot_inatumika sana kwa simu za HTC na samsung.
Kingroot & kingoroot kwa baadhi ya simu nyingi za samsung na tecno ila kumbuka kudonwnlod new version.
Framaroot_cm zote
Pingpong root_kwa cm nying za samsung..
au unawez kutumia hiz Vroot, Srs root, Z4root, Universal root.Odin root,Cf-auto root,Root genius na Root master&Unlock root.....,

Kama sijaeleweka tuulizane hapa hapa jukwaani na naamini wataalam zaidi tutasaidiana kutumbua majipu ya unrooting phones. Ningependa niseme hivi "Kwa sasa wapenda games bila kuroot simu hatuwezi"

Nice day
[HASHTAG]#Alban[/HASHTAG]
 
Hi,
kama kawaid y jukwaa letu n kuelimixhn mamb mbal mbal xo leo nmeandaa uzi huu maalum kwa wale wot wanaoitaj kufurahia ulimweng wa rooting but wameshindw either uoga wa kijinga au apps walizotmia haziendan na cm zao yaan namaanixh mfano kingoroot apk aijawah kuroot tecno w4.....so leo nmeandaa baadh ya apps ambz zitasaidia...
Iroot_inatumika xan kwa cm za Htc na samsung..
Kingroot&kingoroot kwa baadh ya cm nyng za samsung n tecno ila kumbka kudonwnloda new version,
Framaroot_cm zote
Pingpong root_kwa cm nying za samsung..
au unawez kutumia hiz Vroot,Srs root,Z4root,Universal root.Odin root,Cf-auto root,Root genius na Root master&Unlock root.....,
Kam sijaelewka tuulizane hap hap jukwaani na amini wataalam zaid tutasidian kutmbua majip ya unrooting phones...ngepend nixem hiv "kwa ss wapenda games bila kuroot cm hatuwez"
nice day
[HASHTAG]#Alban[/HASHTAG]
Mkuu tecno W3 na root kwa app gani msaaada tafadhali...?
 
Mkuu tecno w3 tumia Framaroot apk
 
Ila ukifut maelekezo vizuri ufanikisha tu......[HASHTAG]#super[/HASHTAG] women
 
Kuroot simu maana yake ni
kumuezesha au kumpa
mamlaka yote mtuamiaji wa
simu ya android kuongeza,
kupunguza au kurekebisha
mfumo mzima wa android software. Pengine hapo
utakuwa unajiuliza mbona mimi
naweza kutoa au kuongeza apps
au kubadilisha settings za simu
yangu bila hata kuroot simu? Jibu ni kwamba uki root simu
yako ya android utaweza
kufanya mambo mengi sana
kwenye simu yako na kuifanya
simu yako iwe kama wewe
unavyo taka. Mfano, unapo nunua simu yako dukani ikiwa
mpya kabisa na baada ya
kuiwasha utagundua tayari kuna
apps zimekwa kwenye simu na
unapo jaribu kuzitoa huwa
hazitoki. Kwa mfano, simu za samsung huwa zina apps kama (chatOn, S voice, S Planner) na nyinginezo ambazo unakuta
tayari zimeshawekwa kwenye
simu na mdaa mwingine
hauzitaji na ungependa uzitoe
lakini hazitoki. Sasa hapo ndipo
faida moja ya root inapokuja. Ukiwa ume root simu, basi
utaweza kutoa app yoyote mdaa
wowote bila kujali kama
ilikuwepo pale uliponunua simu
yako Faida nyingine ya kuroot ni
kuongeza ufanisi wa simu yako
ya android. Mfano mzuri tazama
picha chini. Picha ya kushoto ni
My files (file manager) ambayo
ipo kwenye simu aina zote za Samsung Galaxy S4. Picha ya
kulia ni file manager ambayo
natumia mimi kwenye samsung
galaxy s4. Sasa utajiuliza
mbona file manager yangu ni
tofauti na ile iliyopo kwenye simu za samsung galaxy s4?
Swali lingine linakuja kwamba
file manager iliyopo upande wa
kulia inatumika kwenye
Samsung Galaxy S6 na S6 edge
pamoja na Note 5. Sasa utajiuliza inawezekana vipi mimi
kutumia file manager iliyopo
kwenye S6 kwenye S4 yangu?
Jibu ni kwamba uki root simu
mambo kama hayo
yanawezekana bila shida. Faida nyingine ni kuipa ulinzi
imara simu yako. Hapa nina
maanisha hata kama simu yako
imeingia baadhi ya apps
ambazo zinahatarisha ulinzi wa
simu yako basi kwa kupitia root utaweza kuziondoa mara moja.
Kwa kweli faida za kuroot simu
zipo nyingi sana. Una weza
search google kuendelea
kuzijua. Sasa tuongelee kidogo baadhi
ya hasara unaweza kuzipata
baada ya kuroot simu yako ya
android. Moja ya hasara kubwa
ni kupoteza warranty. Kumbuka
unaponunua simu dukani hupewa warranty kwamba
endapo simu yako italeta shida
basi utaweza rudisha na
kutengenezewa bure au kupewa
simu nyingine. Endapo uta root
simu yako basi tayari utakuwa umepoteza warrant ya simu
yako. Hasara nyingine unayoweza
kupata baada ya kuroot simu ni
kuaribu simu yako. Zipo simu
nyingi ambazo uki root vibaya
hushindwa kuwaka na
kusababisha hasara kubwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom