Naomba msaada wa ufafanuzi wa Adobe Photoshop na Illustrator

JOSEPHAT_07

JF-Expert Member
Aug 8, 2011
290
162
Naomba msaada kwa anaezifahamu hizi programu, ipi ni nzuri kwajili ya kutengenezea Logo, vipeperushi, card design.

phat_07
 
Kwa Logo Adobe Illustrator ni nzuri japo zote zinatumika. Siku hizi katika Youtube unapata kila kitu ila kama una nafasi waweza soma live darasani. We upo sehemu gani. Kuna Jamaa anaitwa Richstar ana tutorial nyingi Youtube za hayo mambo pia anauza DVD za mafunzo waweza jipatia. Kikubwa ni kuwa mtundu na kupitia Youtube unaweza jifunza mengi sana, mi nakushauri kabla hujaenda fundishwa darasani anza na Youtube ili ukipata mwalimu uwe una mwanga kidogo kuliko kwenda hujui chochote

Asante mkuu na mimi nimenufaika na hizi nondo zako.
 
Naomba msaada kwa anaezifahamu hizi programu, ipi ni nzuri kwajili ya kutengenezea Logo, vipeperushi, card design.

phat_07
Kama uko gizani kabisa mi naona chimba mfukoni mpe mtalaam akutoe vumbi kidogo halafu utaendelea. Utaelewa kwa muda mfupi.
 
Richstar, huwa nikiona tutorials zake huwa nakumbuka tulivyom pump kum'attack ticha flani kwa school baraza baadae ukawa msala jamaa akaondoshwa shule.
Ila tutorials zake ziko poa,
 
Kwa Logo Adobe Illustrator ni nzuri japo zote zinatumika. Siku hizi katika Youtube unapata kila kitu ila kama una nafasi waweza soma live darasani. We upo sehemu gani. Kuna Jamaa anaitwa Richstar ana tutorial nyingi Youtube za hayo mambo pia anauza DVD za mafunzo waweza jipatia. Kikubwa ni kuwa mtundu na kupitia Youtube unaweza jifunza mengi sana, mi nakushauri kabla hujaenda fundishwa darasani anza na Youtube ili ukipata mwalimu uwe una mwanga kidogo kuliko kwenda hujui chochote

Asante sana

phat_07
 
Naomba msaada kwa anaezifahamu hizi programu, ipi ni nzuri kwajili ya kutengenezea Logo, vipeperushi, card design.

phat_07
Kwa vitu ambavyo utaprint illustrator ni nzuri zaidi, mfano hizo card,

Kwa vitu vya kidigitali kama logo za website ama Youtube basi photoshop ni nzuri zaidi.
 
Hakuna haja ya kwenda darasani mimi nimejifunza video editing , hizo motion graphics , special effects YouTube tuu ! Mpaka music productuon nimejifunza YouTube saivi nagonga biti kama s2kizzy
 
Hongera mzee

phat_07
 
Ngoja nijaribu nikishindwa ndio nitakwenda darsani, video nimeshazi download natafuta natafuta mda nianze kujifunza

phat_07
 
Back
Top Bottom