Msaada wa scatter file ya vodafone vfd 301

Download Lipo ila km umei format kwa software haiponi hakuna solution kwasasa

solution ipo mim nili iformat kwa miracle box crack nlipo kua najaribu kutoa FRP lock ika stuck nilihangaika nayo zaid ya mwezi mzima hadi nikaja kupata file nika iflash mara moja tu ikawaka na file la hi vfd 301 halipo kabisa mtandaoni utagoogle mpaka uzeeke (mafile yaliyopo mtandaoni yote feki hayafanyi kazi) na nimadogo hayana vitu vyote nakumbka moja lina 408MB na jingine 301MB but file lake original lina 3.49GB tena nlivo maliza kuiflash nika iunlock network
cc34b666900afca9b16859b40a9594b8.jpg
18cee8ff47c2954eeeb18e169b41f4d1.jpg
 
Back
Top Bottom