Moo Click
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 3,495
- 3,261
Niende moja kwa Moja kwenye Mada. Nipo Dar naulizia wale wajuvi wa machimbo ya Laptop za Kazi kama za Rendering na Matumizi ya Graphics aje apa atuelekeze yanapo patikana na ikiwezekana na Bei zao.
Naimani humu kuna watu ni wajuaji wa hayo Maeneo Basi Nawakaribisha.
Naimani humu kuna watu ni wajuaji wa hayo Maeneo Basi Nawakaribisha.