Nimesahau password ya DStv

Nimesahau password ya DStv

Mahondaw

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
75,517
Reaction score
185,623
Habari wakuu!

Nimesahau password ya app ya DStv Now

hii app huwa naitumia kuangalia DSTV popote pale napokua mbali na nyumbani kwa kutumia simu yangu ya mkononi sasa nimesahau password nifanyeje? ? Smart911 na wajuzi wengine.

Msaada please!



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ingia kwa app yako click reset kiko kimejificha cha blue

Utaletewa sehemu ya email au phone number uliyosajilia
Ingiza namba za simu then watakutumia one time pin
Ziingize then endelea
 
Ingia kwa app yako click reset kiko kimejificha cha blue

Utaletewa sehemu ya email au phone number uliyosajilia
Ingiza namba za simu then watakutumia one time pin
Ziingize then endelea
asante mkuu Jana nilijaribu wakalenitumia hizo code nikaingiza na kufuata maelekezo kulikua na maelezo yanasema reset password nikafanya hivo na wakanijibu tatizo limetatuliwa ila nikiingia inagoma na kusema nimekosea password.

Pia nilijaribu kuwatumia email juu ya tatizo hili nilituma kwenye help@dstv.com wakasema watakua hewani kuanzia saa 1 asubuhi ndio muda wa kazi lakini saivi nimewatumia email tena naona bado hawajasovu sasa Sijui inakuaje.

NAKWEDE haya ya jana nilielekezwa na Smart911

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahaa kumbe! Asante sana mimi niliweka 07..... halafu kuna option ya email address au phone number .. sasa sikumbuki kama niliregister kwa email au kwa namba simu ila email naikumbuka na namba pia ni hiihii but shida ni password ..ok ngoja nifanye hivo nione ubarikiwe sana
Repeat process nzima na weka a very simplest password then kaingie namba ya simu iwe mfumo huu 2557..........

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom