TV imechora mstari kubwa mno kati kati naomba msaada

Nima Imma

JF-Expert Member
May 14, 2015
2,473
3,624
Poleni na majukumu wapendwa,

Naomba msaada Tv yangu inch 43 Lg LED imechora mstari mnene mno kati kati

Shida ni siku moja tukiangakia tv iliweka tu kiza ikawa haionyeshi kitu , basi tukaizima tukaicha
Sasa nikampata fundi akaja kuichek nyumbani akaitengeneza kidogo ikawaka mwanga mweupe bila kuonyesha picha (wala neno la LG).

Akasema akaitengenezee ofisini itapona. Basi nimekaa siku kama siku nne nikampigia
Akaniambia tv imewaka ila imechora mstari mnene sana (naambatanisha na picha)

Wadau tafadhalini najua huku kuna wajuzi wa aina mbali mbali naombeni kujua shida huenda ni nini na inatengenezeka vipi /kwa gharama gani?

Natanguliza shukrani

IMG_20200311_142522.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
inaweka kua kioo au mkanda {cable[

km kioo shughuri pevu kioo pekee bei ni kati ya laki 3 mpk 5 cha saizi hiyo kutegemea na uquality
km ni mkanda kubadili bei haifiki laki 1 pamoja na ufundi

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom