IPv4 No Internet

IPv4 No Internet

Hajulikani

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2013
Posts
273
Reaction score
252
Habarini Wadau,

Nina Ofisi yangu hapa Mwanza ya Internet Cafe, hivi majuzi nimeanza kutumia Moderm ya Voda ambayo inasupply internet kwa ajili ya Computer zangu. Sasa Kati ya Computer 5 nilizonazo moja tu ndio ina connect na Inernet kupitia WIFi nyingine zilizobaki zinasoma WIFI na Kuconnect lakini huwezi kuingia kwenye Internet.

Naombeni msaada jinsi ya Kufix

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Modem gani? Hio modem ina wifi? Hio computer yenye internet ndio umechomeka modem? Maelezo machache sana mkuu
 
Yan Moderm ya router 4gLte, Yan computer ina connect na WIFI lakini haiwezi kuingia kwenye Internet, wakati computer yenzake iliyoconnect na WIFI hiyo inaingia kwenye Internet
Modem gani? Hio modem ina wifi? Hio computer yenye internet ndio umechomeka modem? Maelezo machache sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom