Jaslaws
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 6,016
- 5,294
Habari za jpili.
Naomba mnisaidie kidogo kwa wale wenye uelewa wa haya makitu,kunamshikaji aliniuzia simu,iPhone 6s plus kila kipindi nainunua alinambia aliipeleka kwa fundi aiset fresh for ilikua mpya fundi akawa ameweka line nyingine na akaikorokochoa simu ikawa imeblockiwa ila akanambia kunajamaa amempelekea anaiunlock.sababu Jamàa namuamini na ni mshikaji wangu nikawa nmeinunua tu hivohivo.
simu mpka Leo haijakuwa unlocked ukiiwasha inaniambia ni confirm nchi yangu basi.
Naombeni msaada hata kama kuna mtu anaweza nimletee anifungulie
Simu bado ni Mpya kabisa kwenye boksi