Wataalamu Jibuni hili kwa utaalamu

Ndama dume

Ndama dume

JF-Expert Member
Nov 1, 2019
530
1,000
Hili jukwa ndio kwanza napandisha uzi humu,
Naomba kuuliza hivi nawezaje kupata code namba inayoweza kunisaidia kupata menu katika simu za kawaida je inatengezwa au unaenda kuomba kwa makampuni ya simu au hutolewa na TCRA ?
 
Top Bottom