Kwa sasa inapotokea umepoteza simu na ukahama kuingia simu nyingine hautaweza kuunganishwa tena na App ya tigo pesa. Tofauti na App za bank au mitandao mingine Tigo Pesa au Mixx by Ass utalazimika...
Gamers kwema, nina PS4. Nahitaji game la vita zuri kwa ajili ya online.
Nimetokea kulipenda sana Warzone, ila halikubali kwenye PS4; ni la PS5 tu. Hivyo, naomba msaada, game gani zuri kwa upande...
Ni takriban karibu mwezi umepita account yangu ya Whatsapp ipigwe ban ila najaribu ku log in inaleta hii message.
Nilisha wa tumia email mpaka basi wanasema ni download version original ila...
We built systems that say "I'm confused" and "I'm here for you." Does anyone actually feel it?
I hosted Dr. Elena Voss (Cognitive Neuroscience, UvA) and Dr. Arjun Patel (Computer Science, TU...
Habari yenu wanajukwaa, natumai mpo vyema kiafya na mnaendelea vyema na maisha kiujumla. Nami Mungu anasaidia kiasi chake kwenye masuala yangu.
Naomba niende moja kwa moja kwenye hoja, inayogusa...
Tunatumia WhatsApp kwa sababu ya mazoea tu ya mtaani, lakini kiufundi, Telegram ipo miaka mia mbele. WhatsApp ni kama usafiri wa umma, lakini Telegram ni mnyama mwingine kabisa.
Mambo yako hivi...
Wakuu kwema?
Wale wazoefu simu yangu ya Samsung aina ya S25 muda mwingi inaniambia camera failed hivyo haioperate chochote na baada y masaa mengi kupita hurudi na kuoperate normaly walau kwa...
IPhone ni EYEPhone = inakuangalia
SmartTV ina uwezo wa kukurekodi ... haijaitwa smart bure
AI inatangazwa kutusaidia... ivi wenye GMAIL umeshagundua AI inasummarise email zako? manake...
Habari zenu wakuu kama heading inavojieleza hapo juu, Nina mpango wa kuanzisha biashara ya wifi internet mtaani kwa kupitia router na kuwalipisha wateja kwa masaa Ninaomba kuuliza je kisheria iko...
Hapo zamani msani akimaliz kurekod wimbo na akahitaji kava au akiwa na show akahitaji poster, jambo la kwanza lilikuwa kumpigia Graphics Designer. Kaz hizi zilikuwa zinawapa hata 20k hadi 50k...
Kwa wale wapenzi wa game za mpira kwenye pc karibuni tujumuikeni hapa hasa kwa wale wa pc na hata console pia sio mbaya. Lengo ni kupeana mambo kama yafuatayo-:
Latest patch (update...
>>>>>>>
Miundo ya AI ya OpenAI yaripotiwa kutoroka udhibiti wakati wa majaribio na kusababisha tukio la kiusalama lisilo la kawaida
Na Raphael Satter
Julai 22, 2026
Muhtasari
OpenAI imesema...
18 Julai 2026
Teknolojia ya akili bandia imefanya kazi ya kutengeneza video kuwa rahisi zaidi kuliko ilivyokuwa miaka michache iliyopita. Sasa hauhitaji kamera ya gharama kubwa, mwigizaji, studio...
Akili Bandia (Artificial Intelligence – AI) imeanza kubadilisha namna dunia inavyofanya kazi. Kutoka kwenye biashara, benki, kilimo, hadi elimu, mashine na mifumo ya kompyuta yenye uwezo wa...
Wakuu niliikuta sehemu jamaa akaijaribu niliipenda sana nawauliza ni Chaka gani hapa Tanzania naweza kuipata JBL BAR 1300MK2 chini ya sh. 4M kwa kweli Mziki wake unaotoka humo niliupenda sana...
Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kwa kushirikiana na Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela - (NM-AIST), kupitia Maabara ya Akili Unde Afrika - (AfriAI Lab) kwa udhamini wa Taasisi ya...
Habari wakuu.
Eti wakuu HDMI cable ajili ya cctv camera kuna zinazouzwa kwa mita?
Kama ndio,mita moja ni bei gani hapo kariakoo.
Kuna fundi kaniambia haukatwi unakuja na vichwa vyake na...
Instagram is currently experiencing a widespread global outage, with thousands of users reporting app failures, blank screens, and connectivity issues since earlier this afternoon. The disruption...
Watu wengi wakisikia "kupika kwa umeme," akili zao zinakimbilia kwenye yale majiko ya kizamani ya Coil (yale yanayowaka wekundu). Wanawaza bili kubwa za TANESCO na majiko yanayochelewa kupata...