Complex
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 4,113
- 4,741
Kwa wale wapenzi wa Nokia , baada ya kutoa Nokia 6, 5 na 3, Nokia ametoa flagship yake tayari. Naona ametembea mulemule kwa kama wadau walivyotarajia. Camera ametumia Zeiss optics, Processor ametumia snapdragon 835 ambayo ndo processor bora kwa sasa.
Body ametumia aluminium unibody na final touch inaonekana superb, screen ameweka favourable kwa maana si kubwa sana wala ndogo sana kwani ameweka ya 5.3" display na ameachana na kufuata mkumbo wa curved edges kama wenzake na bezel less phones na amestick katika core roots za simu. Bei inakadiriwa kuwa around Euro 600. Unaweza pitia review yake full katika video hii niliyoambatanisha hapo chini.
Upande wa sauti ameua kabisa kwani ameimplement tecnolojia yake ya OZO 3D sound na kufanya kuwa best upande wa sauti. Pia kuna bonus ya superb cooling system ambapo ndani kuna copper pipe iliyozungushiwa ndani ya simu nzima na kufanya ishu ya cooling system kuwa nyepesi na ya kwa kiwango cha juu.