MSAADA: JOTO LA DAR NI KALI NATAFUTA AC AU AIR COOLER


malkiamrembo

malkiamrembo

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2015
Messages
330
Likes
95
Points
45
malkiamrembo

malkiamrembo

JF-Expert Member
Joined Mar 29, 2015
330 95 45
Ndugu zangu kwa joto hili urembo wote utatuisha natafuta wapi nitapata Air condition ndogo ya bei nafuu au Aur cooler kwa bei rafiki jamani nisaidieni kwakweli..Loll hili joto la dsm sasa ni hatari sana.
Naomba kama kuna mtu anaufahamu na mambo hayo anisaidie. Hapa
 
Khaligraph Jordan

Khaligraph Jordan

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2017
Messages
2,014
Likes
2,085
Points
280
Khaligraph Jordan

Khaligraph Jordan

JF-Expert Member
Joined Oct 1, 2017
2,014 2,085 280
Nenda kariakoo kuna vifeni vidogo vya kutumia betri hata ukiwa kwenye daladala au sehemu zisizo na AC unakatoa kwenye pochi kanakupa burudani ya roho!
 
Jogoo wa Shamba II

Jogoo wa Shamba II

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2013
Messages
2,479
Likes
4,211
Points
280
Jogoo wa Shamba II

Jogoo wa Shamba II

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2013
2,479 4,211 280
polenii asee
 
bogosho

bogosho

Senior Member
Joined
Jan 5, 2018
Messages
114
Likes
198
Points
60
bogosho

bogosho

Senior Member
Joined Jan 5, 2018
114 198 60
mi napepea kwa mdomo shilingi 500 nusu saa
 
Zeus1

Zeus1

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2017
Messages
2,366
Likes
1,942
Points
280
Zeus1

Zeus1

JF-Expert Member
Joined Aug 24, 2017
2,366 1,942 280
Nenda kariakoo kuna vifeni vidogo vya kutumia betri hata ukiwa kwenye daladala au sehemu zisizo na AC unakatoa kwenye pochi kanakupa burudani ya roho!
Hii ikoje??Ila sidhani kama inaweza ikakidhi
 
Khaligraph Jordan

Khaligraph Jordan

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2017
Messages
2,014
Likes
2,085
Points
280
Khaligraph Jordan

Khaligraph Jordan

JF-Expert Member
Joined Oct 1, 2017
2,014 2,085 280
Hii ikoje??Ila sidhani kama inaweza ikakidhi
Inafanya kazi kama mapepeo ya wachina na wajapan kiko vizuri sana aiseee
 
Somoche

Somoche

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2010
Messages
4,087
Likes
1,180
Points
280
Somoche

Somoche

JF-Expert Member
Joined Oct 6, 2010
4,087 1,180 280
Tunashauriwa kuepuka kuharibu Mazingira ,,kupanda miti
 

Forum statistics

Threads 1,237,093
Members 475,401
Posts 29,278,071