American nigga
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 902
- 1,549
Free Fire Ni Battleground Inayofanana kwa kiasi kikubwa na PUBG, Ni game Mahususi kwa Vifaa vya Android na IOS. Game Ina Size ya GB 1.5 Ni game Nzuri Haswaa.
Unachotakiwa Hufanya ni Kusignup, Baada ya hapo utaweza kuungana na Mabilioni wa watu wengine walio kwenye Game hii na Mtaweza Kucheza Katika mashindano mbali mbali
Makao makuu ya Game ni singapore, Asia. Ukiidownload hutajutia. Kwa atakae sign up Nicheki Nikupe username yangu.
ᴮᵉʷᵃʳᵉ ᵒᶠ ᵗʰᵉ ᶜᵒᵛⁱᵈ ⁻ ¹⁹