Wamajanga
Senior Member
- Jun 24, 2014
- 133
- 47
Wakuu, inawezekana kubadilisha IMEI ya simu? Nina simu ya Samsung Note 2 ila imei ya kichina kwa hiyo inasumbua katika kutumia.
Je, naweza nikapata msaada?
===
MAONI YALIYOTOLEWA NA WADAU
Je, naweza nikapata msaada?
===
MAONI YALIYOTOLEWA NA WADAU
pengine kwetu si jinai ila kimataifa na nchi nyingi duniani ni kosa la jinai kwa sababu imei ndio identity ya simu. unaweza kuwa na kisimu cha kichina cha 50,000 ukakibadili imei ikaonekana ni galaxy s6. inamaana kama ni shughuli za usalama na ulinzi utakuwa umeziathiri.
mfano miezi 6 iliopita kumeibiwa galaxy s6 na imei yake ipo polisi kama kijulisho kuwa hio simu imeibiwa halafu leo na wewe unaenda polisi kushitaki simu yako imeibiwa (ina imei sawa na ile iliobiwa sema yako ni imei fake ulibadilisha) hapo utakuwa umewachanganya polisi watakuwa hawaelewi ipi ndio ipi.
wezi wanaweza kutumia imei kwa faida zao, unaweza kudanganya mzigo ulipotoka kwenye mamlaka za ukaguzi na mambo mengi ndio maana ni jinai.
sababu za kubadili wengine huwa ni sababu za kiufundi tu, bila imei simu haiwi na network hivyo watu hueka imei pindi inapocorupt, ila wengine hubadili imei kwa njia mbaya kama hizo za juu nlizotaja.