Hiki ni kifaa gani na kinatumikaje?

Hiki ni kifaa gani na kinatumikaje?

issac77

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2013
Posts
5,853
Reaction score
12,746
Nimeokota kibox njiani nilivyofungua nikakuta kitu kama reciever, but bado sijaelewa kinatumikaje. Msaada wenu anaekijua tafadhali
IMG_20200418_091830.jpg
IMG_20200418_091800.jpg
IMG_20200418_091627.jpg
 
Receiver ....

Sent from my SM-A105G using Tapatalk
 
Hiyo funga tu antenna ya kawaida search channel utapata tv za bongo.japo unaweza funga dish na kuweka uelekeo wenye satelite za bure na ukapata channel.unaweza funga dish lako kwa upande wa continento ukapata channel tafuta fundi mzuri akusaidie
 
Nielekeze mkuu uliitumiaje nimejaribu kwenye dish la zuku imenigomea
Inabidi dish lielekee muelekeo fulani kupata chanell. Zuku ni chanell za kulipia huwezi kuziona kwenye receiver ya bure. Na pia unatakiwa uwe na frequency usearch.

Kwenye Azam Tv ile azam xtra inayo onesha matangazo mda wote inakuwa bure sijajua kama zuku wana chanell kama hio, jaribu kutoa frequency kwenye zuku receiver search humo.
 
kumbe uneshajua ni kifaa gani hadi ukajaribu ba vado umekuja kuuliza ni kifaa gani?!

ushauei wangu peleka polisi ina tracking system hiyo utadakwa.
Tena watamdaka mchana kweupe.

Hapo majambazi walivunja sehemu wakaiba na wakaua . Sasa wakati wa kukimbia wakakidondosha.

Jamaa kaja kakiokota lazima akanyee debe huyo dogo. Mimi namshauri analeta ujuaji
 
Tena watamdaka mchana kweupe.

Hapo majbazi walivunja sehemu wakaiba na wakaua . Sasa wakati wa kukimbia wakakidondosha.

Jamaa kaja kakiokota lazima akanyee debe huyo dogo. Mimi namshauri analeta ujuaji
😂 😂 😂 😂 😂
 
Tena watamdaka mchana kweupe.

Hapo majambazi walivunja sehemu wakaiba na wakaua . Sasa wakati wa kukimbia wakakidondosha.

Jamaa kaja kakiokota lazima akanyee debe huyo dogo. Mimi namshauri analeta ujuaji

haha hukutwa na makuu asiyesikia la mkuu.
 
Back
Top Bottom