Wataalamu wa Python, msaada kwenye hii error

Paa

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2015
Posts
1,462
Reaction score
2,940
Error inaonekana hapo chini kwenye Terminal, naisolve nmana gani?
1586627001785.png

1586627164467.png
 
Attachments

Mkuu una key za pycharm professional unisaidie huwa nazitafuta naishia kutumia community editions ambayo haina features nyingi.
Hapana sina. Ngoja nikutafutie
Hiyo screen haionekani vizuri
Duh, haisomeki kabisa?
 
Wazee, maana yake hakuna anayejua. Dah😅
 
Error inaonekana hapo chini kwenye Terminal, naisolve nmana gani?
View attachment 1416568
Code:
#ondoa neno charts halipo kwenye hiyo library weka
from openpyxl.charts import BarChart, Reference
#iwe hivi
from openpyxl.chart import BarChart, Reference

#hapo kwenye reference unatakiwa kudefine hiyo values uliyoiita hapa
chart.add_data(values)
#kwa hiyo reference itakuwa
values = Reference(sheet,
          min_row=2,
          max_row=sheet.max_row,
          min_col=4,
          max_col=4)

#unaweza ongezea chart kwenye excel kwa kutumia
ws.add_chart(chart, "weka column unayotaka")

Additional notes soma hapa
Charts — openpyxl 2.5.15 documentation
 
  • Thanks
Reactions: Paw

Hapa inaleta error, hiyo openpyxl.chart haiitambui, inayotambulika ni openpyxl.charts. Sijajua shida ni nini
 
Code:
#ondoa neno charts halipo kwenye hiyo library weka
from openpyxl.charts import BarChart, Reference
#iwe hivi
from openpyxl.chart import BarChart, Reference

#hapo kwenye reference unatakiwa kudefine hiyo values uliyoiita hapa
chart.add_data(values)
#kwa hiyo reference itakuwa
values = Reference(sheet,
          min_row=2,
          max_row=sheet.max_row,
          min_col=4,
          max_col=4)

#unaweza ongezea chart kwenye excel kwa kutumia
ws.add_chart(chart, "weka column unayotaka")

Additional notes soma hapa
Charts — openpyxl 2.5.15 documentation
Shukran sana kiongozi. Ila bado inagoma napata error hii👇👇 (file ni worksheet.txt) hapo juu kwenye attachments
line 315, in cell
coordinate = coordinate.replace('$', '')
AttributeError: 'int' object has no attribute 'replace'
 
Nafikiri nimesolve hiyo snap ya kwanza, maana kwangu inasave fresh na ina draw chart.

Nikuulize unatumia version gani kwenye hiyo library, na umepitia link niliyokutumia?
 
  • Thanks
Reactions: Paa
Alafu nakushauri tumia open source editor kama vscode n.k
 
  • Thanks
Reactions: Paa
Nafikiri nimesolve hiyo snap ya kwanza, maana kwangu inasave fresh na ina draw chart.

Nikuulize unatumia version gani kwenye hiyo library, na umepitia link niliyokutumia?
Yes nimeipitia, openpyxl version nayotumia ni 2.1, nilijaribu na v3.0.3 nayo ikanisumbua
 
Shukran sana kiongozi. Ila bado inagoma napata error hii👇👇 (file ni worksheet.txt) hapo juu kwenye attachments
line 315, in cell
coordinate = coordinate.replace('$', '')
AttributeError: 'int' object has no attribute 'replace'
Hii ntaicheki baadae
 
  • Thanks
Reactions: Paa
Back
Top Bottom