Panda II
Senior Member
- May 25, 2017
- 174
- 500
Habari wadau nadhani mnaendelea vizuri pamoja na kukumbwa na hili janga la dunia la COVID-19, Kuna swala linaniumiza kichwa la taarifa za miamala ya line yangu ya simu kujulikana kwa mtu mwingine pasipo yeye kushika simu yangu ambalo limenifanya niwe na maswali makubwa mawili ambayo nadhani hapa ni mahali pake
Mosi: Je, inawezekana mtu akaenda katika ofisi za mtandao wa simu na kuomba taarifa za miamala yangu akapewa bila shida yoyote au kuna rules au privacy policies ambazo haziruhusu hii kitu?
pili: Je, naweza ku disable line yangu na kufuta historia ya miamala yote niliyowahi kuifanya?
Natanguliza shukrani.