Dim Ray
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 320
- 249
Habari zenu wana jamvi wa jf, namshukuru Mungu aliyetujaalia pumzi. Matumaini yangu mapambano (dhidi ya Covid-19) yanaendelea. Tukiachana na hayo katika kutaka kuingia kwenye mambo ya technology nimekumbwa na situation nyingi zinazohitaji coding, nikaona nisilaze damu nijifunze programming language mojawapo kati ya hizi C language au Python, ninaomba ushauri wenu je kwa mimi beginner at ground level nijifunze hipi. Nawasilisha
"I did not fail,I only stopped when it was not necessary"
"I did not fail,I only stopped when it was not necessary"