Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Note 9 inatuma SMS kwa pamoja kama group mwisho watu 10, kwa kazi yangu nina watu wengi sana ninaotaka wawe wanataarifiwa. Inanilazimu kutuma 10/10 kila mara. Naomba msaada wa namna nitaweza...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Naomba kujua ni kifaa gani kama ni betri au ups ambacho kinaweza kunisaidia kutumia laptop yangu kwa muda wa saa 24 pale umeme unapokuwa umekatika, kitu kama ups ila kiwe na uwezo huo wa kukaa saa 24.
1 Reactions
27 Replies
5K Views
Wakuu naomba kuuliza Jana nimefunga meter ya Maji baada ya kuchukua bomba toka kwa jirani yangu nyumba anaishi kijana tu sasa tumeamka asbh meter inasoma unit moja wakati jana tulichota ndoo mbili tu
1 Reactions
6 Replies
5K Views
Angalia picha, hiyo ni Band Mode option kwenye setting ya Engineer Mode ya simu za android , nataka kutick baadhi ya bands lakini siwezi kwakuwa zimelokiwa. Je, kuna namna ya kuzifungua ili niweze...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
salama wakuu Natafuta fundi mzuri wa iPhone imezima ghafra yaani iliisha charge nikiwa kwenye mizunguko yangu,, niliporudi home nikaichaj aijawaka tena
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mimi ni Omary, fani yangu ni game development kwa sasa nimesha tenzeneza game nyingi likiwepo ujiji race hivi karibuni nitali upload on playstore. Sasa niulize jinsi ya kutengeneza game.
4 Reactions
61 Replies
12K Views
Habari ya jioni wanaJF. Shida ya TV hii, nikiconnect kwenye umeme, inaonyesha kuwa iko power on, kisha inatokea Logo LG (kuonesha kama inataka kuwaka) halafu inakata. Inabidi niiache kwa muda...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wanabodi habari zenu, Ningependa kujua short course zipi nzuri kuhusu computer kwa ajili ya kuongeza maarifa ya kupambana na mtaa?
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Wakuu habarini! Binafsi nimekuwa mkereketwa sana kila nionapo nyaraka rasmi hususani ya serikali inapokuwa na maandishi haya kwa chini " Scanned by CamScanner " Huwa naona nyaraka hiyo...
6 Reactions
10 Replies
3K Views
Kwa sasa imekuwa ni rahisi kujua ukukuu wa gari kwa kuangalia namba za usajiri, ukiona namba AAA basi hiyo ni imetumika sana tofauti na ile yenye namba DDD, hata madalali wamekuwa wakimshawishi...
1 Reactions
4 Replies
989 Views
Habari! Nahitaji PC kwa ajili ya kufanyia video editing. Hivyo nahitaji at least powerful PC kwa ajili ya hiyo tasks. Ikiwa na RAM above 6 sawa. SDD itapendeza ila HDD haidhurupia. Processor ya...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Msaada Mwenzeni Nimetoka Kukopa Buku 10 kwa Jamaa Nije Ninunue Kifurushi cha Mwezi Azam Tv/King'amuzi Nikapitia Kwenye App ya Azam Tv Max Nikijua Sawa. Toka Saa Moja Nasubiri Iunganishwe Nimchek...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Delete it
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Aseeh naimben msaada simu tecno camon 12 Mtu akipiga anaajulishwa kwamba namba ipo busy na huku unakuta missedcall tu yan nimejaribu mbinu nying ila naona nimefika ukomo wakubwa na wataalamu wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Inasemekana kwamba kwa sasa M-Pesa MasterCard inapoExpire hakuna tena kuiendeleza kama ilivyokuwa kipindi cha nyuma, na hii ni baada ya kujaribu kuiendeleza Card yangu iliyoExpire baada ya mwezi...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Binafsi sijasomea mambo ya Sana'a hata kidogo ila napenda kufahamu vitu muhimu kama hivyo nimekuwa nikishindwa kutofautisha kati ya VFX na CGI na utendaji wake wa kazi embu tuelekezane kidogo kwa...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Je kunatofauti gani ya matumizi ya remote ya G voice na Remote ya kawaida? Je na remote ya g voice naweza kuitumia kama remote ya kawaida? Vp kuhusiana na ulaji wake wa bundle? Je Kuna yeyote...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari za muda huu ndugu zangu. Nimekuja hapa kuna kitu na mimi naomba mnifahamishe maana naonaga ila siwez kutengeza. Unakuta mtu anakupa link labla ana kwambia download diamond ft david na pale...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Habar wakuu nahitaj msaada namana ya kubaypass FRP kwenye samaung A20 nmejarbu clips za youtube lkn imebuma anayejua kwa trick nyingne au tool yoyote ya window anisaidie
0 Reactions
4 Replies
743 Views
Habari wakuu, Teknolojia ni bahari yenye kina kikubwa sana ambacho wengi wetu hatujawahi kukifikia. Leo hii tutajuzana jinsi ya kufuatilia au kutrack mahala (location) ulipo au mtu uliyepanga nae...
5 Reactions
15 Replies
8K Views
Back
Top Bottom