Calfornia
Member
- Oct 26, 2019
- 49
- 132
Habari ya jioni wanaJF.
Shida ya TV hii, nikiconnect kwenye umeme, inaonyesha kuwa iko power on, kisha inatokea Logo LG (kuonesha kama inataka kuwaka) halafu inakata.
Inabidi niiache kwa muda wa kama masaa matatu, kisha ninanurudia tena zoezi hilo la kuizima na kuiwasha (naweza tumia nusu saa), ndipo inawaka. Je, shida yake inaweza kuwa ni nini? TV hii ina muda wa miaka 7 sasa. Tatizo hili lina muda wa kama mwezi mmoja sasa.