iPhone 6 imezima ghafra wap naweza pata mtaalamu wa kuiamsha

baraka bb

JF-Expert Member
Mar 20, 2016
2,691
3,858
salama wakuu
Natafuta fundi mzuri wa iPhone imezima ghafra yaani iliisha charge nikiwa kwenye mizunguko yangu,, niliporudi home nikaichaj aijawaka tena
 
Uko wapi? Kama uko Dar unaweza kwenda Iphone city pale mawasiliano ama kuna fund mmoja yuko pale mbezi beach Kituo cha bondeni ukishuka kama unatokea mwenge upande wa kushoto
 
Uko wapi? Kama uko Dar unaweza kwenda Iphone city pale mawasiliano ama kuna fund mmoja yuko pale mbezi beach Kituo cha bondeni ukishuka kama unatokea mwenge upande wa kushoto
niko dar mkuu mawasiliano sehem gan? kule stend simu2000 au mawasiliano kweny jengo la ghorofa pale
 
Sijawahi kumshauri mtu akafuata ushauri wangu akakwama,iwapo itakupendeza upande ndege uende marekani kule kampuni inakutengenezea simu bure kabsaa! Hawakutozi hata 200 ya kiwi
 
Ushauri wa bure hiyo simu kama imegoma kuwaka usizidi kuichomeka charger itakufa vitu vingine ,, take care bro,, fika kwa fundi
 
Please don’t west your precious time and money to try to repair that phone
Just go or wait till you have money to buy a new one, I repeat a NEW one with active warranty
 
Ushauri wa bure hiyo simu kama imegoma kuwaka usizidi kuichomeka charger itakufa vitu vingine ,, take care bro,, fika kwa fundi

madundi wenyewe wenge kibao.

unapeleka simu imezima,inawaka mara unashangaa haipandishi charge.

kiukweli simu ikiishafika kwa fundi huwa inapoteza uhakika wa kuishi kabisa.
 
Hyo n system ime colapse,,,Kama una computer download itunes,, then ukiwa ume-connect pc yako na wireless chomeka usb na smu yako ita dictate then ukiwa umefungua itune changua option ya update ama restore and update itadownload system upya..NB we na kifurushi walau Gb 3,,
 
Back
Top Bottom