Nahitaji computer ya video editing

LaRosa

JF-Expert Member
Jul 3, 2020
952
2,875
Habari!

Nahitaji PC kwa ajili ya kufanyia video editing. Hivyo nahitaji at least powerful PC kwa ajili ya hiyo tasks.

Ikiwa na RAM above 6 sawa.
SDD itapendeza ila HDD haidhurupia.
Processor ya kiume
E.t.c

Budget yangu sio kubwa saana though nimeona nitangaze you never know Kuna my alinununua ndege mnada wa serikali kwa laki 5.

Budget yangu 360,000/=

Cc Chief-Mkwawa
 
Bei ya simu unataka Pc
 
Kwa hii budget Desktop unapata,
1. Nunua cpu ya i7, kuna jamaa anauza i7 4th gen kwa 80,000 na zipo hadi i7 za 50,000 sema gen kama ya kwanza ambayo sio nzuri kwa video editing.

2. Nunua Desktop ya Pentium ama celeron gen sawa na i7 yako, mfano kama umenunua i7 gen ya 4 tafuta desktop ya pentium gen ya 4. Hizi bei zake ni chini ya 180k

Kwenye desktop ni vyema uangalie power supply na position ya Pcie kwa ajili ya graphics card maana hivi vitakuja kukulimit baadae.

3. Around laki 1 mpaka 1.5 inabakia kwenye budget yetu, hapa nunua ram mbili za 4gb around 60,000 kwa zote mbili unapata, hela inayobakia save kidogo ssd zinaanzia 80,000.

Hapa tayari unaanza kazi kwa software zinazokubali quicksync, kama premiere mpya za 2018 kupanda.

4. Baadae utakuja ku upgrade gpu na mengineyo
 
Best resolution za juu saana. As you know high resolution ndio Ina matter kwa Sasa.
Kwa bei hyo mzee utapata PC zinazoweza edit 1080p clips vizuri. Juu ya hapo itakua majanga. Ila nunua desktop yenye core i5 or core i7 4th generation kwenda juu.
 
Kwa hii budget Desktop unapata,
1. Nunua cpu ya i7, kuna jamaa anauza i7 4th gen kwa 80,000 na zipo hadi i7 za 50,000 sema gen kama ya kwanza ambayo sio nzuri kwa video editing.

2. Nunua Desktop ya Pentium ama celeron gen sawa na i7 yako, mfano kama umenunua i7 gen ya 4 tafuta desktop ya pentium gen ya 4. Hizi bei zake ni chini ya 180k

Kwenye desktop ni vyema uangalie power supply na position ya Pcie kwa ajili ya graphics card maana hivi vitakuja kukulimit baadae.

3. Around laki 1 mpaka 1.5 inabakia kwenye budget yetu, hapa nunua ram mbili za 4gb around 60,000 kwa zote mbili unapata, hela inayobakia save kidogo ssd zinaanzia 80,000.

Hapa tayari unaanza kazi kwa software zinazokubali quicksync, kama premiere mpya za 2018 kupanda.

4. Baadae utakuja ku upgrade gpu na mengineyo
Nashukuru kaka. Duka lipi ? Napata ivi
 
Nashukuru kaka. Duka lipi ? Napata ivi
Cpu kama Cpu ni machimbo,

desktop za pentium zimejaa kibao, ukienda Kkoo likoma na Agrey kuna maduka mengi sana.

Ram pia zipo za Kutosha, maduka hayo hayo ya desktop, bei isizidi 30,000 kwa 4GB Ddr3L

Kwa Ssd nenda Kaale (refurbished sio mpya) kwa around 80k kwa 128GB, hawa wapo Mtaa wa likoma wanaangalizana na Kanisa La KKKT. Kama unataka Mpya around laki 1 unazipata City Mall mjini duka la Epiccomputers ghorofa ya Pili ama ya 3.

Cpu Hapo kaale duka linalofuatia niliona 1st gen i7 kwa 50,000

4th gen niliona Aggrey na Likoma benki ya Mkombozi kuna jengo linaangalizana na Hio bank, Ghorofa ya kwanza, Ukipanda ngazi duka la kwanza kulia, kwa 80k.
 
Naitaji mzigo unaosukuma 4k
4k? Mzee unahitaji at least gen 7 processor (na sio zile zenye U mwisho kma kwenye laptop nyingi za slim) na unahitaji GPU inayojiweza kdgo. Budget yako inatakiwa kuwa kwenye 1M huko kwenda juu
 
Mwezi ujao nataka niipate iyo machine nitakuwa nimeshakamata iyo 1m
 
image-2020-09-28-15:39:14-932.jpg
 
Back
Top Bottom