Check kma umemblock. Na pia hakikisha hujaweka simu kwenye "4G only" modeAseeh naimben msaada simu tecno camon 12
Mtu akipiga anaajulishwa kwamba namba ipo busy na huku unakuta missedcall tu yan nimejaribu mbinu nying ila naona nimefika ukomo wakubwa na wataalamu wa hiz kaz naomben msaada