Leo ningependa kujuzwa kuhusu VFX FX NA CGI pamoja na application zake

chuxxe

Senior Member
Feb 4, 2019
158
195
Binafsi sijasomea mambo ya Sana'a hata kidogo ila napenda kufahamu vitu muhimu kama hivyo nimekuwa nikishindwa kutofautisha kati ya VFX na CGI na utendaji wake wa kazi embu tuelekezane kidogo kwa wale wenye elimu na utaalamu wa mambo haya
 
Kaliro X

JF-Expert Member
Apr 18, 2013
659
500
Binafsi sijasomea mambo ya Sana'a hata kidogo ila napenda kufahamu vitu muhimu kama hivyo nimekuwa nikishindwa kutofautisha kati ya VFX na CGI na utendaji wake wa kazi embu tuelekezane kidogo kwa wale wenye elimu na utaalamu wa mambo haya
VFX - Visual effects
CGI - Computer Generated Imagery

CGI ni kijisehemu kdg cha Vfx, ikimaanisha wahusika wa kufikirika wanaoundwa kwa kutumia computer, hawa hutumika kwny video games na movies mf. spiderman etc
crewcallsupret-1204x630.jpg

VFX ni broad term... inahusisha ujuzi wa jumla wa kutumia computer software kutengeneza vitu, maumbo, watu, mazingira n.k yanayokaribiana na vile vya kwny dunia halisi.. hapa utakutana na matumizi ya greenscreen, fluid/smoke simulation etc

Common softwares used include : Maya, Cinema 4D, Blender n.k
422662_677e_3.jpg
 
chuxxe

Senior Member
Feb 4, 2019
158
195
VFX - Visual effects
CGI - Computer Generated Imagery

CGI ni kijisehemu kdg cha Vfx, ikimaanisha wahusika wa kufikirika wanaoundwa kwa kutumia computer, hawa hutumika kwny video games na movies mf. spiderman etc
View attachment 1584406

VFX ni broad term... inahusisha ujuzi wa jumla wa kutumia computer software kutengeneza vitu, maumbo, watu, mazingira n.k yanayokaribiana na vile vya kwny dunia halisi.. hapa utakutana na matumizi ya greenscreen, fluid/smoke simulation etc

Common softwares used include : Maya, Cinema 4D, Blender n.k
View attachment 1584408
Hivyo hapo mkuu una maanisha cgi yenyew hutumika upande wa watu au MTU na vfx yenyew hutumika kwenye mazingira..!?
 
mathsjery

JF-Expert Member
Sep 26, 2015
1,520
2,000
Binafsi sijasomea mambo ya Sana'a hata kidogo ila napenda kufahamu vitu muhimu kama hivyo nimekuwa nikishindwa kutofautisha kati ya VFX na CGI na utendaji wake wa kazi embu tuelekezane kidogo kwa wale wenye elimu na utaalamu wa mambo haya
CGI ni picha zilizotengenezwa kwa computer mara nyingi ni 3D images hapa kuna kufanya modeling, rigging na rendering.

wakati huo

Unapochukua kitu chochote na kukiweka kwenye video wakati kihualisia hakikuwepo wakati video inachukuliwa hiyo ndo VFX.

VFX inaweza jumuisha CGI na wakati CGI haijumuishi VFX.

Mfano wa CGI ni watu, wanyama na vitu vyovyote kama maroboti, rocket, mwezi, milima na sayari nyinginezo ikiwa tu, vilitengenezwa kwa computer sio halisi.

Mfano wa VFX unaona diamond yuko mbinguni wakati kiuhalisia alikuwa kwenye ardhi tu(hapa ndo matumizi ya green screen yanapamba moto), unaona jamaa anatema moto wakati kiuhalisia alifanya maigizo kama anatema kitu alagu ukawekwa moto wakati wa post production.Sasa kama nilivosema VFX inaweza jumuisha CGI ni sawa na kusema mtu anatema moto maanake moto ni CGI na kitendo cha kuufanya moto uonekane ukitemwa kutoka mdomoni ni VFX.

Jiongeze sasa.

Dah! nimechoka kutype....
 
Heisenberg

JF-Expert Member
Apr 26, 2017
1,165

Dah mkuu nimekuelewa kidg japo likichwa langu ligumu ila taratibu mambo yatajipa
 
Mkuu baada ya kutuliza kichwa nimelud tena
 
chuxxe

Senior Member
Feb 4, 2019
158
195
Ina maana CGI ni image ambayo inaweza kuingiziwa kwenye clip kisha vfx ikatumika kuifanya ile image iyonekana kama ni kwer sio?
 
mathsjery

JF-Expert Member
Sep 26, 2015
1,520
2,000
Ina maana CGI ni image ambayo inaweza kuingiziwa kwenye clip kisha vfx ikatumika kuifanya ile image iyonekana kama ni kwer sio?
No si Kila image ni CGI, mfano wa CGI NI KAMA unaigiza unacheza na simba na anatabasamu, huyo simba si rahisi kumpata katika mazingira ya kawaida hivyo wataalamu wa cgi(cgi artists) wanaunda(modeling) huyo simba wanampa real look(texturing) Kisha Wanampa tabia/sifa za mnyama halisi hiyo ni rigging mfano uwezo wa kuachana, kukunja miguu n.k, na baadae wana muanimate Kisha Wana render then Wana produce clip na kumweka kwenye video halisi(hapa ndo VFX inaponzia) maana hakuwepo kihualisia

Hapo ndipo kuna mambo ya motion tracking, green screen removing,nkuweka background mpya n.k kuhakikisha mnaonekana kama kweli mlikuwa mnacheza in real world.

Wakati mwingine sio lazima kila VFX ijumuishe CGI lakini ni common mfano kuweka picha, au video ingine ndani ya nyingine yaani unawezaenda chochoro na gari ukaigiza kama inakugonga si kweli bali ni vipande tu huunganishwa na kuonekana hivyo ila kama kuna additional effect basi CGI UTUMIKA.
 
Mkuu we umesomea hii
 
mathsjery

JF-Expert Member
Sep 26, 2015
1,520
2,000
Mkuu we umesomea hii
Binafsi nilisha wahi fanya kwa muda mfupi kwa kutumia blender na cinema4d wakati huo nikigonga gonga ka after effect kwa mbaaali hata hivyo sikuzingatia sana japokuwa Degree niliyosoma ilijumisha CGI ila ile CGI ya codes mambo ya opengl e.t.c, nilitamani sana niwe developer mzuri siku niliyojifunza java kwa mara ya kwanza, nikaacha hayo mavituz na niko nakimbizana na ndoto yangu ya kuwa software developer mkali Tanzania na nje ya nchi kwa kuwa ninapenda kukode na kwa sasa nafanya web application development, UI/UX design na huduma kama hizo ;).

Ila unapojibiwa kitu haimaanishi aliyekujibu ni specialist sema amen.
 
Amen umetisha sana mkuu

Binafsi me napenda sana kufanya edit ila elimu pia ni changamoto upande wangu ila nashukuru mungu napata watu wawili watatu kama hivi mnanijuza #mungu awasimamie sana katika kazi zenu
 
mathsjery

JF-Expert Member
Sep 26, 2015
1,520
2,000
Amen umetisha sana mkuu

Binafsi me napenda sana kufanya edit ila elimu pia ni changamoto upande wangu ila nashukuru mungu napata watu wawili watatu kama hivi mnanijuza #mungu awasimamie sana katika kazi zenu
Unaweza kufanya kidogo kidogo ukianza na video editing, tumia smart yako kushoot video chache atakama ni kwenye poli la kawaida au milimani na sehemh nzuri kisha unaunga unga unapata ujuzi, unaweza anza na wondershare filmora kuedit video, ila kadili unavyokutana na changamoto za resources unahamia kwenye premiere mambo yanaenda mdogo mdogo, mfano ukikutana na shida ya mambo muhimu kama custom lowerthird unaweza tengeneza kwa after effects kisha unaexport to premiere mbali na zile unazowezashindwa kuzibadili ndani ya filmora.

So kila kitu ni Google na YouTube hakuna namna.

Kama unataka kozi nakushauri tumia udemy, Lynda au pluralsight. Kuna kozi nzuri sana kwa kiasi cha elfu 45 kupanda na atakayekufundisha kama utalipia anakuruhusu umshirikishe hatua kwa hatua pale usipoelewa.

Fanya hivyo
 
Thnks sana mkuu acha nijitahidi kufanya ivyo coz camera ndogo ninayo ntaanza taratibu tyu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom