Msaada wa Application au Website za kutengeneza link

Msaada wa Application au Website za kutengeneza link

Allydasmartboy001

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2018
Posts
604
Reaction score
218
Habari za muda huu ndugu zangu. Nimekuja hapa kuna kitu na mimi naomba mnifahamishe maana naonaga ila siwez kutengeza. Unakuta mtu anakupa link labla ana kwambia download diamond ft david na pale mbele unaona kabisa picha ya diamond ft david una click ukisha click hiyo link unatoke sehemu nyingine kabisa tofaut na hiyo picha aliyoweka. Je unawezaje kutengeneza vile?

Naombeni msaada wenu na samahan kwa kiswahili kibovu na maelezo mafupi
 
Nenda kwenye page unayotaka ,click hiyo nyimbo ya Davido na diamond kisha kwenye browser yako (mfano.google chrome) copy ile address au URL ilotokea kwenye sehemu ya kusearch. Baada ya kukopi ni kupaste hiyo link sehemu unayotaka.Tayari umepata link
 
Ngoja kwanza sijakuoata vzur shida kubwa yaan nakuwa link yangu mm labla ya msaani mwngn mfano lava lava ft ney wa mitego harafu nataka nitumie picha ya diamond ft david niweke link yangu kwamaa hiyo mtu akiona anazania n nyimbo ya mond ft david kumbe n lava lava ft ney
 
Unakuta mtu anakupa link labla ana kwambia download diamond ft david na pale mbele unaona kabisa picha ya diamond ft david una click ukisha click hiyo link unatoke sehemu nyingine kabisa tofaut na hiyo picha aliyoweka. Je unawezaje kutengeneza vile???
Code:
1. https://anyimage.io
2. https://www.canva.com


​
 
Back
Top Bottom