Msaada wa kubaypass FRP kwenye samsung

lunatic

Member
Sep 24, 2016
63
19
Habar wakuu nahitaj msaada namana ya kubaypass FRP kwenye samaung A20 nmejarbu clips za youtube lkn imebuma anayejua kwa trick nyingne au tool yoyote ya window anisaidie
 
maelezo yako too general , ilibidi useme kama samsung je inatumia chip ipi maana inaweza kuwa ni samsung copy ambazo nyingi ni MTK (hapa utashauriwa utumie NCK DONGLE), au chip ya Exynos (hapa utashauriwa utumie Z3X).
 
Mkuu mshauri aingie YouTube maana utamwelekeza hadi utoe chozi. Mshauri atafute tutorials kibao zitamsaidia.
Hii akifanya mchezo hatoboi mwenyew...Ngoja aje aseme binary ni ngapi kwanza...huko youtube nying ni zile zenye binary u1 hadi u6

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom