Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wakuu kwema huku nilikua naomba msaada tena kwenye WINDOW 11 nikitumia USB kufanya installation. Kwenye SSD ya GB 32 itafaa
0 Reactions
4 Replies
943 Views
Hapa kwenye picha kuna waya ambao una terminal nyekundu na nyeupe unatoka kwenye subwoofer na kuingia kwenye TV waya huo kama. unavyouona upande wa pili una interface ya kuingia kwenye TV lakini...
1 Reactions
10 Replies
5K Views
Hivi hili suala la Google service kutaka permission ya kila kitu...kama storage,sms,storage,sensor,phone,call logs,camera, microphone limekaaje.....na nikisisable hizi permission wananambia your...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari wanajamvi kama head inavyoeleza hapo juu ni kama week moja imepita nimeibiwa simu yangu ya Tecno camon 12 air ndani ya gari so nilikua naomba msaada namna ya kuitrack ili niweze kumkamata...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Wakuu naombeni mnijuze simu yangu upande wa kulock kuna hayo maneno Mim huwa naona yote ni sawa ..kama ni sawa kwanin wayaweke yote kama ni tofauti je nini tofauti zake? Sent from my Nokia 1...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Naomba anaejua namna ya kuflash simu kwa kutumia kompyuta anisaidie nitumie app gani?? Niko bush nataka nianze hii ishu. Msaada please.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
NAMNA YA KULINDA NYWILA (PASSWORD) YAKO 1) Usitumie Nywila (Password) moja kwenye kurasa zako zote za Mitandao ya Kijamii. Hakikisha kila mtandao unatumia #Password yake 2) Hakikisha Nywila yako...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kununua Simu kwa Mtu kumewaweka Watu wengi kwenye matatizo kutokana na Simu husika kuwa na historia ya kuhusika katika matukio ya Uhalifu. Hakikisha Simu unayonunua ni halali kutoka kwa Muuzaji...
4 Reactions
26 Replies
3K Views
habar ndugu zangu natafuta mtaalam nitakayemlipa kama tutakavokubaliana ili anirudishie email yangu ya gmail ambayo nimesahau pasward zake..namba nilizoweka kwenye email ni mbili lkn nikibonyeza...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Kama kichwa Cha habari kinavyosema ambaye Yuko dar anicheki, kama amemaliza chuo mwaka huu ndo itakuwa vizuri.
0 Reactions
14 Replies
1K Views
System.out.println("Habari wanaJF"); @Stateless(name="dubo") public class Dubo implements Serializable { public String getUjumbe() { String ujumbe = "Nina penda kushare ujuzi wangu...
5 Reactions
85 Replies
12K Views
Habarini humu, nipo natumia Tecno P5 sasa naitumia hii wi-fi hotspot ku-connect intaneti kwenye PC sasa leo nina siku ya pili nimejaribu kuconnect imeshindikana. Nikajua tatizo ni pc lakini sio ni...
1 Reactions
30 Replies
5K Views
Wadau mko poa? Nadhani kwa ambao mmenunua flat tv recently kuna marketing term ambayo wanaitumia wauzaji TV kwamba "Ina king'amuzi ndani" utaona channel zote bure.Nimeleta mada mezani tupeane...
3 Reactions
82 Replies
27K Views
Habari za leo wakuu niko namiliki samsung yangu A02 ilipata ajali kwahiyo kwenye camera kuna ufa inaingiza uchafu mwingi sana kiasi kwamba hata picha haitoi vizuri nataka kubadili Camera Je...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Souce: AfroIT.com Katika miaka ya themanini hadi mwanzo wa miaka ya tisini kitu kinachoitwa Kompyuta kilikuwa ni anasa.Hapa usiongelee Internet.Katika miaka hiyo matumizi ya Internet yalikuwa...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu wana JF. Kama kichwa cha habari kinavyoeleza...mwenye ujuzi huo tuwasiliane kwa no. 0627929637 NB: Ni yale ya kielektroniki yanayokaa juu mbele ya gari kwenye kioo.
0 Reactions
0 Replies
786 Views
'Back up' ni hatua muhimu ya #UlinziWaData kwani humsaidia Mhusika kutunza taarifa zake muhimu ili akipoteza kifaa chake au kikiharibika aweze kuzipata taarifa hizo Kuna majukwaa mengi yanayotoa...
2 Reactions
2 Replies
977 Views
Kuna tofauti gani kati ya aina hizi mbili za battery Li-Po na Li-Ion ipi ni bora.?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimenunua flash disc 32 gb nimeweka game Cha ajabu ni kwamba kila nilihitaji kucheza hizo game hazisomi nikienda kwenye zile file nayaona nikiselect inasema "This isn't Efl" Ni ipi solution ya...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Wazee wenzangu nahitaji msaada wenu kuna kitu naandaa ni kama documentary fulani, ila ili nifanye kitu cha uhakika na niwe na haki nacho itabidi nipate video halisi na si hizi za kupakua YouTube...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Back
Top Bottom