Naweza badili camera ya samsung A02

Richmoto Kushmoto

JF-Expert Member
Jan 18, 2021
549
557
Habari za leo wakuu niko namiliki samsung yangu A02 ilipata ajali kwahiyo kwenye camera kuna ufa inaingiza uchafu mwingi sana kiasi kwamba hata picha haitoi vizuri nataka kubadili Camera

Je Naweza Badili Nikaweka camera ya Simu nyingine Wazee
 
Back
Top Bottom