Naomba ufafanuzi kuhusu hili suala la Google Service

Kichenza

JF-Expert Member
Aug 27, 2018
221
240
Hivi hili suala la Google service kutaka permission ya kila kitu...kama storage,sms,storage,sensor,phone,call logs,camera, microphone limekaaje.....na nikisisable hizi permission wananambia your phone will not work properly if you disable this permission. na kila baada ya dakika wanaleta ujumbe.

Anyway kwani kazi ya Google play services ni nini na kwanini wanalia sana ukidisable hizi permission haza ile ya sms. nia yao nini hasa isije kuwa waiba taarifa(mawazo yangu) maana permission zote wanazotaka ni senstive
Screenshot_20210908-130758.jpg
 
Kuwakwepa hao jamaa kwamba waswe na access na simu yako hata kama ume disable uwezekano wa hilo ni almost to 0% usipo wataka google utaangukia kwa kwa wenzake epo stoo

Turudi kwenye mada..(wataalamu wanakuja)
 
hivi hili suala la Google service kutaka permission ya kila kitu...kama storage,sms,storage,sensor,phone,call logs,camera, microphone limekaaje.....na nikisisable hizi permission wananambia your phone will not work properly if you disable this permission. na kila baada ya dakika wanaleta ujumbe.
anyway kwani kazi ya Google play services ni nini na kwanini wanalia sana ukidisable hizi permission haza ile ya sms. nia yao nini hasa isije kuwa waiba taarifa(mawazo yangu) maana permission zote wanazotaka ni senstive
View attachment 1929123
Umejitahidi kufikiri lakini hiyo ni access kwa ajili ya huduma zao ambazo nyingi ni hidden. Kuna ambayo ni public kama digital wellbeing. Kazi kubwa ni kuwezesha simu yako kufanya kazi vizuri ila kwa kuwa huwalipi so ndio wao wanajilipa kwa taarifa zako.

Kwasasa google inajua angalau 90% ya mienendo yako kupitia huduma zao zilizopo ndani ya google inc.
 
Kuwakwepa hao jamaa kwamba waswe na access na simu yako hata kama ume disable uwezekano wa hilo ni almost to 0% usipo wataka google utaangukia kwa kwa wenzake epo stoo

Turudi kwenye mada..(wataalamu wanakuja)
Uko sahihi. Biashara sasa hivi imebadilika, user data hivi sasa ni biashara kubwa sana. Taarifa zinazokusanywa na apps kama facebook tu ni insane, mpaka battery level ya simu ni kiasi gani. Taarifa hizi ni biashara kubwa kwa makampuni makubwa ili kukutarget. Kwa jinsi mitandao hii (especially google) ilivyoingia katika matumizi yetu ya kila siku na maisha yetu ni ngumu sana kuepuka. Unless uchukue tu simu ya tochi. Ni vigumu sana kukwepa kutoa taarifa zako (sio kwamba haiwezekani ila ni vigumu).
 
sasa info zangu za kwenye simu watamuuzia nani,halafu itakuwa shingapi hasa
 
sasa info zangu za kwenye simu watamuuzia nani,halafu itakuwa shingapi hasa
Nitajaribu kuelezea kidogo kwa ninavyo fahamu
Kwa mfano google wanataarifa zako za hotel uyokwenda mara kwa mara pia wanaujua aina ya vinywaji unavyopenda kutokana na taarifa wanazopata kupitia mazungumzo yako (machine learning). Sasa kutokana na kutambua taarifa hizo basi mtu wa masoko wa kampuni X leo akienda google na tangazo lake anamwambia hili tangazo langu Y wafikishie watu wanaopenda vitu XYZ tambua masoko ya siku izi ni sayansi sio kama zamani unapeleka kwenye redio tu alafu kila mtu anapata taarifa.
Mfano raisi ni matangazo unayopata YouTube mostly ni kutokana na vitu anavyopenda kutizama so ujuzi unaotumika hapo ndio (machine learning)

NB:Bado haijawa effective sana huku kwetu lakini kuanzia 2030 hivi vitu vitakua dhahiri sana
 
sasa info zangu za kwenye simu watamuuzia nani,halafu itakuwa shingapi hasa
Ahahaah unaziona data za smu kama ktu kdogo sana eeeh,,,, unajua n kwa nn ukiwa unasearch ktu fulan mara kwa mara unaletewa matangazo yanayoendana na hcho ktu?? Mfano ww kila sku unagugo "live score' unashangaa unaletewa matangazo ya makampuni ya kubeti unajua kwa nn?
 
sasa sijui labda lugha ndio mbovu inayotumika.

ni sawa na kusema tunaiuza picha ya utupu ya kwako huku sura yako haionekani.
hapa ni namna yao tu ya kufanya biashara,lakini sio kwamba wanaweza kukutetemesha kwa namna yoyote ile.

acha wauze tu.
 
Google Play Service ni mfumo WA Google ambao kazi yake ni kuunganisha apps na huduma zinazotolea na Google, Kwa kifupi ni API.

Baadhi ya huduma ambazo Google hutoa ni Ramani, Speech to text, Text to speech nk.

Kama una app inayotumia Ramani Goole play service lazima iwe active, au app inayoruhusu kufanya search Kwa sauti moja kwa moja itakuwa inatumia speech to text hivyo inahitaji play service.

Play service huwa inafanya KAZI background.
Na data zako ndio biashara Yao kubwa Kwa sababu advertisers huitaji data kabla ya kununua tangazo Google.
 
Nitajaribu kuelezea kidogo kwa ninavyo fahamu
Kwa mfano google wanataarifa zako za hotel uyokwenda mara kwa mara pia wanaujua aina ya vinywaji unavyopenda kutokana na taarifa wanazopata kupitia mazungumzo yako (machine learning). Sasa kutokana na kutambua taarifa hizo basi mtu wa masoko wa kampuni X leo akienda google na tangazo lake anamwambia hili tangazo langu Y wafikishie watu wanaopenda vitu XYZ tambua masoko ya siku izi ni sayansi sio kama zamani unapeleka kwenye redio tu alafu kila mtu anapata taarifa.
Mfano raisi ni matangazo unayopata YouTube mostly ni kutokana na vitu anavyopenda kutizama so ujuzi unaotumika hapo ndio (machine learning)

NB:Bado haijawa effective sana huku kwetu lakini kuanzia 2030 hivi vitu vitakua dhahiri sana
Rudi na madini mengine mungu atakupa vitu vizuri zaidi
 
Rudi na madini mengine mungu atakupa vitu vizuri zaidi
Nashukuru sana mkuu kwa kunikumbusha. Hiyo ni moja ya ndoto zangu kuhakikisha tunakuwa na watalaamu wengi hasa hasa kwenye hizi teknolojia mpya kama machine learning na artificial intelligence, kubwa zaidi ni kuhakikisha tunakuwa na uwezo wakutengeneza bidhaa zetu wenyewe zinazotumia teknolojia hizo na sio kujifunza pekee. Bahati mbaya sana kwa sasa siwezi kutekeleza hayo mpaka pale nitakapokamilisha miradi kadhaa ili iwatie moyo wale watakao taka kujifunza lakini pia kwa kufahamu asili yetu ambayo ni kuamini kwenye matokeo na sio mchakato ili iwe rahisi kuwavutia wale vijana wenye uwezo mkubwa wa Sayansi/Fikizia na Hisabati
Ninaimani haya yatafanikiwa kulingana na mipango niliojiwekea.
 
Back
Top Bottom