JAVA expert, ready to help!

Dubo

JF-Expert Member
Aug 16, 2010
322
17
System.out.println("Habari wanaJF");

@Stateless(name="dubo")
public class Dubo implements Serializable {
public String getUjumbe() {
String ujumbe = "Nina penda kushare ujuzi wangu kwenye teknolojia ya JAVA na watanzania wengine bure";
return ujumbe;
}
}

<h:eek:utputText value="#{dubo.ujumbe}" style="font-weight:bold" />

Mtu yoyote anajihusisha au anayetaka kujihusisha na kuandika program za kompyuta kwa kutumia teknolojia ya JAVA, pale akitaka msaada wa kitaalam kuhusu tekinolojia hiyo, aweke swali lake hapa na mimi nitamjibu kadiri ya uwezo wangu.

Msaada unaoweza kupata ni:

Back end

  • MySQL
  • Oracle
  • MSSQL
  • Postgre

Data access layer

  • JPA
  • Hibernate
  • JDBC

Business logic (Service layer)

  • Java
  • J2EE/JEE
  • Spring framework
  • seam framework
Integration layer (Distributed services)

  • web services
  • jms
  • RMI/Socket

Front end (Presentation layer)

  • Web interface
    • JSF
    • Servlet
    • JSP
    • Facelets
    • a4j (Ajax for JSF)

  • Graphical User Interface -GUI
    • Swing
  • Report
    • Jasper report (XML based)
Miscellaneous

  • Java based SMS applications
 
Big up man! Nmekupata! vp c++ nayo vip, java nmeipga kimtindo bt sjaimasta fresh yan. Utanisaidiaje?
 
Big up man! Nmekupata! vp c++ nayo vip, java nmeipga kimtindo bt sjaimasta fresh yan. Utanisaidiaje?

C++ ninaijua juu juu tu sijaifanyia kazi. Java ndio ninayoifanyia kazi na inayonipa kula kwahiyo inategemea unataka msaada katika maeneo gani?
 
Duuu mkuu una moyo sana hamna shaka kabisa kama kukiwa na problem then tutakujulisha tu wala hamna tatizo,vipi pia kwenye C haupo vizuri??
 
C++ ninaijua juu juu tu sijaifanyia kazi. Java ndio ninayoifanyia kazi na inayonipa kula kwahiyo inategemea unataka msaada katika maeneo gani?

Inakupa kula vipi . wewe ni mwalimu au unaadika program za java.Mimi nilikimbia programming. Je java ina soko hapa bongo au uko nje.?

Nilichanaganyikiwa kwenye mambo ya information hiding, Array na garbage collection. Ilibidi nisome ili kupass tu sio kuelewa

Tupe siri ya mafanikio yako ya kelewa na kujua programming ili ambao hawajakata tamaa waige
 
Inakupa kula vipi . wewe ni mwalimu au unaadika program za java.Mimi nilikimbia programming. Je java ina soko hapa bongo au uko nje.?

Nilichanaganyikiwa kwenye mambo ya information hiding, Array na garbage collection. Ilibidi nisome ili kupass tu sio kuelewa

Tupe siri ya mafanikio yako ya kelewa na kujua programming ili ambao hawajakata tamaa waige

Mimi ni mjasilia mali tu, lugha yoyote inalipa kutukana na mradi unaoufanya. Siri ya kujua programming ni ndogo sana unachotakiwa ni kufanya mazoezi mengi tu, programming ni kama hisabati ili ujue hisabati unatakiwa kufanya mazoezi na programming ni hivyo hivyo.

Information hiding (encapsulation) : Sio dhana ngumu kivile, ukitumia mifano ya maisha yetu ya kila siku inakuwa rahisi kuielewa.

Array ni data type ambayo inahifadhi data za aina moja tu.

Garbage Collection: Ni dhana tu, unatakiwa kuelewa inafanyikaje basi lakini kama Java programmer hautaandika code za kufanya garbage collection, inafanywa na JVM/JRE moja kwa moja.
 
duh.hii ki2 java naisikia n people are sayin ni hard..ila i wl check t soon ishallah....iam stil learning c programing,programing z nyc..
 
duh.hii ki2 java naisikia n people are sayin ni hard..ila i wl check t soon ishallah....iam stil learning c programing,programing z nyc..
Java sio ngumu sema ni complex sana, kama unasoma C basi kwako kujua Java ni rahisi sana. C ni ngumu sana ukilinganisha na java, Java haina pointer, haina mannual memory management.
 
Shida yangu ni Java Console Kwenye IE it`s disable. I tryied to turn it on lakini shida inakuwa ile ile.
 
Dubo,
Can I propose that you setup a learning path for new-comers to programming in JAVA and to programming in general. As the fears expressed by Zing may be similar for quite a big number of IT learners. I find that many people might benefit from a bit of hand-holding in the tentative years of learning say from a higher level language and later on could explore low level programming languages (C, C++) if needed. (I personally think the approach to teach C, C++ and the like to newcomers is not the best approach. To start off, I need a button on a canvas, that achieved in higher level languages in a snap. If I need to arm wrestle code to draw me a button on a canvas and that takes best part of a week to understand, then I would shy away from the lessons)
For this, a full blown application would be best. One that explores likely business implementations to date say, Database access, web services, business processes and the like. You will surely get more queries on how/why the implementation is the way it is and believe will be a good opportunity to teach/learn for all.
With such a plan in place, the students will surely be eager to follow up on planned lessons and you will be in a position to see their progress and appropriately adapt the lessons for the users.
 
C++ ninaijua juu juu tu sijaifanyia kazi. Java ndio ninayoifanyia kazi na inayonipa kula kwahiyo inategemea unataka msaada katika maeneo gani?

mkuu kama unaijua java basi lazima utakuwa unajua na C pia ,manake java imetengenezwa juzijuzi tu miaka ya 95 kutoka kwenye C.Pia kama unaijua C basi lazima utakuwa unajua pia C++,manake C++ imekuwa derivered kutoka kwenye C language
Kwa kifupi Java na C++ wote wanatoka kwa C.Tofauti na programming language nyingine Java ni 100% object oriented programming language alafu inaweza kufanya kazi kwenye operating system ya aina yeyote ile(its platform independent),lakini hizo C/C++ ni fifty fifty yaani nusu procedural,nusu object oriented
Hata hivyo java ni rahisi unapoilinganisha na C++ au C.Lakini ni most powerful kuliko programming language zote nazozijua,otherwise big up
 
Mtaalam je tunaweza kupewa somo kwa kuwanza kutengenza game kwa kutumia hiii Java lakini iwe ni web based game
ambako watu wawili walio kwenye net wanaweza kucheza. aginst each other

Ninayo exprince ndogo sana programming but najua with help naweza and guidance naweza kutengenza ka game fulani

Mcehzo wenyewe ni ni watu wawili kila mtu anakuwa na vidude vitatu
na board game inakuwa ina points katika x-y axis naweza kuziita

  • (0,0) (0,1) (0,2)
  • (1,0),(1,1) , ( 1,2)
  • (2,0,1),(2,1), (2,2)
Huu mchezo tumecheza utotoni kwa hiyo board game inatakiwa uwa na points tisa. Mchezaji yeyote akipanga vidude vyake vitatu vika kaa kwenye straight line anakuwa kashinda.

So nieleze nahitaji nini ilie niweze kutengenza hii board game.

kwa kuanza nilitaka tu kwenye web yangu ya maaribio mtu kiclik game iimleete window ya board game yenye sifa hizo nilizotaja

yaani something like this. http://www.fierz.ch/strategy1.htm ingwa haya maelezo bado sijayadaka vizuri
 
fellas does it mean mmeshindwa kunisaidia na Internet Explore yangu wazee?? embu fanyeni jambo la kiutu uzima hapo..
 
VeniGan.
Hujasema version ya IE unayotumia. but here goes

Confirm that you have java installed. The version ya java installed on your PC can be found from the command prompt as below snippet shows..

<from the command prompt>

C:\Users\kotin karwak>java -version
java version "1.6.0_21"
Java(TM) SE Runtime Environment (build 1.6.0_21-b07)
Java HotSpot(TM) Client VM (build 17.0-b17, mixed mode, sharing)


Then see some docs on starting/stopping for IE as below.

How do I enable and view the Java Console?

How do I enable Java through the Control Panel?
 
Uislam kwanza, Tanzania inafuata, Vyama vinafuata baadae

Asnte sana Mkuu, Nimekusoma pia hii, nadhani ndo maana unafanikiwa!
 
so mtaaalam unajua tool yoyote inaytumika kurahisisha kutengeza applet za board game. kwa java

Hope umeshaona ona game za online kama checkers na draft. hizo ziko complicated kama unaweza nijulishe nitengeze ka game kadogo tu katumia piece tatu.

Au nieleze tutorial au ode gani zinaweza kufanya webpage i load java applet alafu baada ya java applet itokee Rectagular shape kama hii

9dots0.gif
 
Back
Top Bottom