Tofauti ya password na PIN ni nini?

devinyo1987

JF-Expert Member
Mar 12, 2021
269
367
Wakuu naombeni mnijuze simu yangu upande wa kulock kuna hayo maneno Mim huwa naona yote ni sawa ..kama ni sawa kwanin wayaweke yote kama ni tofauti je nini tofauti zake?

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
 
Wakuu naombeni mnijuze ..simu yangu upande wa kulock kuna hayo maneno Mim huwa naona yote ni sawa ..kama ni sawa kwanin wayaweke yote ..kama ni tofauti je nini tofauti zake??

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Password ni neno la Siri lenye mchanganyiko wa tarakimu, herufi na alama.

Pin ni neno la Siri ambalo linahusisha tarakimu pekee
 
Pin ina contain number
Hizo namba ni kati ya 0 hadi 9
Lakini password ni mchanganyiko wa namba na herufi na alama
Zinakua zaidi ya millions
 
Wakuu naombeni mnijuze ..simu yangu upande wa kulock kuna hayo maneno Mim huwa naona yote ni sawa ..kama ni sawa kwanin wayaweke yote ..kama ni tofauti je nini tofauti zake??

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
PIN = personal identification number. Hii ni number tu.

Password = Neno kanyau, nywila.🤣
 
Ila kumegana kua njia mojawapo ya kupasiana ukimwi ni bakora kali san
 
Back
Top Bottom