Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Apple imezindua programu ya dharura ili kukabiliana na hatari ya kiusalama kwa bidhaa zake kuzuia kile kinachoitwa "zero-click, ikiwa ni baada ya watafiti wa usalama kugundua kasoro ambayo...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wadau naomba msaada kidgo kujua kama, Kompyuta za apple znaweza kufaa kutumika katika kazi za stationary bila kuleta matatizo au usumbufu wowote? Maana nlitaka kununua kuna jamaa yangu...
2 Reactions
26 Replies
4K Views
Habari wadau.. simu yangu display inazima zima na inachelewa sana kurudi kwenye hali yake ya kawaida yaani kuwaka tena.Sasa nimeamua kuweka screen timeout ya mwisho kabisa kwenye simu yangu ambayo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wanajamvi. Leo nilikutana na Karibu.TZ | .TZ Domain names registration portal (nafahamu ndo website ya TCRA?) Hivi .tz TLD ishawekwa wazi kwa ajjili ya watanzania wa kawaida kama mimi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Watu wa Mungu nawasalimu kwa jina la jamhuri. Umekuwepo msemo eti ujijua programming vizuri utapiga sana pesa, lakini kila unayemuuliza unapigaje pesa hafunguki kabisa! Sasa wataalamu hebu leo...
3 Reactions
24 Replies
4K Views
nina simu aina ya samsung galaxy grand prime plus ambayo haina ile built in smart watch,nimejaribu kudownload app zaidi ya kumi tofautitofauti hakuna inayokubali kuconnect na tv yangu tv yangu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamani habarini za jumapili ni hivi naomba kuuliza hivi ni lazima kujua framework za JavaScript Kama nitataka kufanya frontend development
0 Reactions
2 Replies
608 Views
Galaxy Note 9 1. Kugoma kutuma Hotspot-Inashare ila 2ñd Device haionekani 2. Kugoma Kusoma USB kwenye PC 3. Picha Kutoa Ukungu/mwangwi wa mwanga Nifanyeje 1. Hotspot ionekane kwenye device...
0 Reactions
5 Replies
566 Views
Wakuu naomba maelekezo ya wapi naweza kwenda kupata msaada wa kubadilisha PDF doc ambayo iko kwenye format ya JPEG. Niko Dar na naweza kufanya Jumamosi 04/09 au Jumapili 05/09. JF Never Fail....
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Wanabodi mliowazoefu wa magari hasa gari ndogo za binafsi naomba mnijulishe A) Gari ndogo inapaswa kuwekwa maji baada ya muda/siku ngapi? B) Coolant zipo ndogo na kubwa za ltr 1 kila baada ya...
1 Reactions
36 Replies
24K Views
Habarini humu waungwana? Kuna swala mimi linanitatiza juu ya nywira(password), Kwanini wanatusihi kuwa na nywira ngumu ikiwa Kuna uwezekano wa kuweza kudukuliwa..? Let's say mfano niweke nywira...
2 Reactions
12 Replies
4K Views
Mtandao wa kijamii wa WhatsApp umenuia kuweka ukomo wa utumaji ujumbe kwa wanachama wake na sasa si zaidi ya mara tano,(5) kwa lengo la kukabiliana na kuenea kwa habari za uongo kwenye jukwaa...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
##6485## Hii code ukipiga kwa watumiaji wa Xiaomi utapata baadhi inf muhimu MF-02 idadi ya michomeko ya chaji toka simu ilipo nunuliwa MB-06 battery health ect.
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Habarin za asubuh wadau wa jukwaa la teknolojia, naskia kuna app ya kuingiza vocha kwenye cm kwa ku scan tu zile namba za vocha ....jeh! Iyo app inaitwaje kwa anayeifaham? Chier mkwawa mambo...
1 Reactions
10 Replies
9K Views
Jinsi Ya Kujaribu Kutumia Window 11 os bila kuinstall, Unatumia browser tu. The developer Blue Edge has created an online emulator of the Windows 11 operating system. With this, users can get a...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
How to know Adoption Rate of IPv6 of your Country by Using Google Statistics Which Country lead IPv6 Adoption Rate and Why ? Hatua. 1. Ingia IPv6 – Google 2. Bofya tab ya IPv6 Adoption by...
1 Reactions
0 Replies
792 Views
hivi hizi tv za tcl zinaweza kuwa na vingamuzi ndani wadau Ninayo nchi 32 kuna jamaa alisema huwa vinakuwa na Vingamuzi ndani je ni kweli kama ni kweli kwenye option ipi Tujuzane hapo
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Nina hp elitebook model yake ni 8570p Zqmani ilikua inarun vizuri tu lakini saivi kwanza inapowaka tu inakaa zaidi ya dakika 10. Halafu ikishawaka ukifungua program yoyote haifunguki hata video...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Natengenza Paypal za USA na UK Linked with Bank PAYPAL Comes With Documents (DL, SSN, STATE ID or Passport) Hakuna mambo za PayPal kuwa Limited, And Withdraw ni easy Unaweza Withdraw (kutoa) kwa...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Naomba msaada jamani, TV yangu imeharibika speaker. Sasa nataka sauti itike katika Kingamuzi maana naona vina speaker. Je nifanyeje? Asante
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Back
Top Bottom