Habarini humu,nipo natumia Tecno P5 sasa naitumia hii wi-fi hotspot kuconnect intaneti kwenye pc sasa leo nina siku ya pili nimejaribu kuconnect imeshindikana.
Nikajua tatizo ni pc lakini sio ni hii wi-fi hotspot haiconnect kabisa.
Naombeni msaada wanandugu!!!
Sijabadili chochote nilikuwa nimeconnect ikakata tu ghafla kuiconnect tena ndo inakaanza kunisumbua mpaka sasahivi
Simu yangu inakubali ku connect ma PC nikset security ikiwa open. Ila uki set kwenye WPA2 inakuwa detected kwenye PC lakini uki connect inagoma.Jribu ku Reset hiyo OOB. Ikikataa utalazimika kufanya factory reset kabla hujapeleka kwa fundi kwa ishu ya hardware
Simu yangu inakubali ku connect ma PC nikset security ikiwa open. Ila uki set kwenye WPA2 inakuwa detected kwenye PC lakini uki connect inagoma.
Hii ya open raia wananimalizia sana bundle zangu nashindwa kuwazuia. Au kama kuna njia nyingine ambayo naweza kuzuia watu wengine wasitumie hotspot yangu. Natumia Galaxy Note 5.
Inawezekana umebadilisha password kwenye simu ndo maana inafanya hvyo, inabidi uifanye pc iforget hyo AndroidAp hotspot halaf uconnect upya kabisa, utaweka password mpya, nafikiri itakua poa.Habarini humu, nipo natumia Tecno P5 sasa naitumia hii wi-fi hotspot ku-connect intaneti kwenye PC sasa leo nina siku ya pili nimejaribu kuconnect imeshindikana.
Nikajua tatizo ni pc lakini sio ni hii wi-fi hotspot haiconnect kabisa.
Naombeni msaada wanandugu!!!